fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,223
- 1,267
Hapa tunaongea inshu ya kuexpand biashara wewe unaleta habari za accacia hapa. Wewe zero uelewi kinachoongelewa eeeKuwaita Accacia Wanyonyaji ni upotoshaji.Mkataba wao ni wa kisheria na una pande 2, wao kama wawekezaji na Tz kama mmliki. How comes wawe wanyonyaji? Tusil aumu tulipo anguka bali tulipo jikwaa.Nimtazamo tu!