sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Ndyo inalipa sana mkuuUshawah kuifanya??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndyo inalipa sana mkuuUshawah kuifanya??
Wakuu baada ya mwaka jana mwezi wa tano kuamua kufanya biashara ya mchele na namshukuru Mungu inanilipa vizuri mpaka sasa.
Kipindi naanza biashara nilikuwa nipo mwaka wa pili chuo flani,na sasa nipo mwaka watatu nategemea kumaliza mwakani nihitimishe masomo yangu.
Lakini baada ya mwaka kumalizika nimefanya tathmini nikaona heli nifungue kibiashara kingine,ingawa katika hali yakawaida nikipiga mahesabu kwenye karatasi inanionyesha nitapata hasara lakini dhamira iliyopo moyoni inaniambia nitapata faida nisiogope kufanya.
Biashara yenyewe nikuwa nimefungua "Kibanda umiza,cha kuangalia mpira."
Baada yakuona watu wanaenda mbali kuangalia mpira halafu huduma wanayoipata wanalalamika mbovu na kila mechi wanalipia 1000.Ila mimi nimeamua kuliweka center flani hivi na nitaonyeshea kwa sh 700.
Je kwa wale wenye ufahamu na biashara hii wanaona ntatoboa kweli japo kupata ela ya kula na kulipa kodi ya chumba tu?.[/Mkuu hongera kwa kuthubutu, binafsi ningekushauri kwanza ustick kwenye biashara 1(mchele) ujiimarishe na kuitanua vzr ndipo ufikirie kudivesify. Pongezi sn mkuu. By the way nikuombe unipe abc za biashara ya mchele maana najiandaa kuingia huko ila bado cjapata mtu wa kunidadavulia zaidi. Ubarikiwe.
Uko sahihi mkuu maana hata wewe umejikita kwenye mapungufu ya mchangiaji huyu sio kumshauri mleta mada.Kweli mkuu nakuunga mkono ufumuliwe kabisa hausaidii chochote, maana hata ww umeandika maneno mengi kweli ila hakuna mchango wowote kuhusu tatizo la jamaa uliotoa