Nimeamua nihame Mji baada ya mke wa mtu kuniletea Msala

Hahaha kweli kabisa. Wengi huwa hawajui kwamba kuna namna fulan mwanamke au mke wa mtu anaweza kuifanya ukajikuta umeingia mzima mzima na kiapo chako huku ukiamini hauwezi julikana na mumewe au mtu yoyote.
Wanawake wana mitego mikali sana yaani huchomoki. Nachokiona mwanamke akikutaka regardless ana ndoa au hana mwanaume huchomoki
 
Be a man, in whatever the situation
👆👆👆
 
Nitaongea na wengi humu, najua nini ni wadogo. mkumbukeni Muumba wenu wakati bado mnayo nafasi, duniani tunapita kabisa. uzinzi ni dhambi, hata ufanye sana kuna arobaini yako utakuja kujuta tu. ajabu yake ni kwamba, watu wanaogopa waume zao au ukimwi au chochote cha dunia hii, wanashindwa kumwogopa Mungu wa mbinguni anayewaona wanavyofanya kila kitu, na anakataza hicho kitu. nilishafanya sana uzinzi, nikaja kujua kuwa namkosea sana Mungu tena kwa kuhofia wanadamu badala ya kumhofia yeye. Mungu anao uwezo kutoa dhabu kali kuliko hizo mnazoziogopa. Mwogopeni Mungu, Mwogopeni Mungu, Mumheshimu Mungu, iweni watakatifu hasa ninyi mnaobeba vyombo vya Bwana, na hata ninyi msiobeba vyombo vya Bwana jueni ya kuwa, dhambi ni uasi na usipotubu na kuacha, haitakuacha salama. Mungu awasaidie.
 
Aaaa basi imetosha tunakuja inbox
 
Kula mbususu wewe acha uwoga yaani mbususu imejileta halafu niiache sasa hapa duniani nimekuja kufanya nini
 
Hahaha
 
Hii habari ya umeme kukatika kuna jamaa alienda chooni uchi ile kurudi umeme ukawaka ghafla kesho yake wapangaji wakasema wameona mchawi...teh tehe aaargh...😀
 
Sina uhakika kama nilishaandika ila kama sikuandika ndiyo naandika na hapa.

Haka ni kasenge pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…