Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
huo mchuzi unapunguza nguvu za jogoo, wanaume mchemsho wa bamia na nyanya chungu tu unatosha kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatosha kufanya nini ? Mwanaume inabidi amalize Bata dume mmoja mwenye kilo za kutosha peke yake sio hivyo vimishikakihuo mchuzi unapunguza nguvu za jogoo, wanaume mchemsho wa bamia na nyanya chungu tu unatosha kabisa
Half american mkuu una nyota asee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shemeji yenu anapenda tembele nikasema nisiwe mchoyo nikaenda kuchuma tembele kwa jirani nimkaangie nimechuka ka limwabata niliko agiza kutoka mtwara uko newala nikaweka kidogo sana ili asinigande sana maana ikiwa nyingi **** stage itafika kie nataka kumuacha yeye dawa ndio zimekolea ataki kuniacha tukaganda mpaka Half american atakaa kunioa
Hamna mbwembwe tu izoHalf american mkuu una nyota asee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣