Nimeamua nimpikie shemeji yenu leo

Nimeamua nimpikie shemeji yenu leo

Mkiwa hamumjui mtu mtuliege basi hata kidogo 😂
kuna codes za kuandika ikiwa mwanaume kamili lazima uzielewe kuwa zimeandikwa na mkuu mwenzetu.

Nakuhakikishia hakuna mwanamke hapo. Rejea nyuzi zake zote utaona kuwa huyu ni msela alie katika process za kulaghai walimwengu huku akileft kundini taratibu.
 
Back
Top Bottom