Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekamatika leo 😂Na roho yangu itapona, baba yetu.....
Mbona ujaorodhesha limbwata kwenye ulivyovitaja?Haya uwai kurudi sawa na nimekuwekea mishumaa chumbani leo na pipi kifua za kutosha sawa
😂😂😂 natoka kidogo, baadaeUmekamatika leo 😂
Kivumbi leo Half american 🤣🤣Haya uwai kurudi sawa na nimekuwekea mishumaa chumbani leo na pipi kifua za kutosha sawa
Si unajua tena shoo bila mzizi sitoboiKivumbi leo Half american 🤣🤣
YaanHuyu ndio wifi yetu kumbe
Siku mizizi ikiisha nguvu utasaka chaka la kulilia ulikoseSi unajua tena shoo bila mzizi sitoboi
😂😂 ebu kwanzaKivumbi leo Half american 🤣🤣
Na bila kizizi hawatuliagi haoSi unajua tena shoo bila mzizi sitoboi
Mi namtaka pamelaYa kwenye chakura inakutosha
Huo mwiko ni mchafu! nunua mwingineNimeamua nimpike leo shemeji yenu leo ili ale ashibe ndipo nimwambie sasa kuhusu Pamela, achague mmoja mimi au pamela!
View attachment 2601437View attachment 2601438
Nimemuwekea na ka mzizi kidogo!
dume hilo mzee, nenda kwa makini. Hakuna mwanamke hapo.Utakuwa mtamu.. we kadogooo
Wifi hajaRaRa, nimemkubali 🤣Yaan
Nilimwambia nitamjengea mifumo ampate ndugu yetu. Naona kajiongeza mita mia mbele, na pishi na ugali tembele na vinyama nyama
Ndugu unataka kutupiwa majini 🤣Mi namtaka pamela