Madhara yapo kama vidonda vya Tumbo jitahidi ule asubuhi na mchana usiku hata ukidesh Hakuna shidaKutokana na ugumu wa maisha ...nimeamua nisiwe nakula mchana ..yaan nakula asubuhi na usiku tu....je kuna madhara yoyote kiafya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nafwaaa eti atakula jfMbona hela ya kuweka bando unayo utakuwa unakula jf mchana usijali
Huyo atakuwa ameishajitibia ameamua kuwajuza na watu wengine pia.Vipi anaeumwa ananunua bando alalamike mtandaon badala ya kununua dawa?
Asante mkuuNakushauri ule sana asubuhi na mchana ila usiku kula light food hasa matunda itakusaidia sana
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ushimen katangaza njaa anaishi Jamii Forums akamatwe mara moja ili aadhibiwe. Maharamia wa Serikalini wanakutafuta Mkuu.
Iyo mbona haina ubishi kabisaukipata heavy breakfast unapiga ndefu tu mbona haina shida..
mwenyewe nafanya hivyo mbonaIyo mbona haina ubishi kabisa
101Hio inaitwa pasi ndefu.sio mbaya
Acha ubishi, wataalamu wa afya wanashauri asubuhi unywe chai nzito, mchana kula chakula na usiku kula matunda basi na uwe unakunywa maji mengi.Sio kweli
Na ni njia nzuri ki afya
Bando ni sh 500 mb 600 wimi nzimaKula huli bundle full.