Nimeamua nisiwe nakula mchana, je kuna madhara yoyote kiafya?

Nimeamua nisiwe nakula mchana, je kuna madhara yoyote kiafya?

Kutokana na ugumu wa maisha ...nimeamua nisiwe nakula mchana ..yaan nakula asubuhi na usiku tu....je kuna madhara yoyote kiafya?
Madhara yapo kama vidonda vya Tumbo jitahidi ule asubuhi na mchana usiku hata ukidesh Hakuna shida
 
Nakushauri ule sana asubuhi na mchana ila usiku kula light food hasa matunda itakusaidia sana
 
ukipata heavy breakfast unapiga ndefu tu mbona haina shida..
 
Ushimen katangaza njaa anaishi Jamii Forums akamatwe mara moja ili aadhibiwe. Maharamia wa Serikalini wanakutafuta Mkuu.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mleta uzi ametangaza njaa kwa namna ya ainayake....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Daaah! Nimeshazoea kula milo miwili, chai nakunywa saa5 asubuhi, na msosi wa jioni nakula saa1-2 usiku. Ila usiku huwa nashindilia sana hili tank. Afya iko njema mnooo!!
 
Piga menu asubuhi na mchana barabara, mlo wa usiku hauna lazima sana kwa kuwa unajaza Calories ambazo haziungui kikamilifu kwa kuwa mwili uko idle; wala hautagundua kwamba unapiga dash; lakini basi hizo savings ufanyie kitu cha maana in compensation to your sacrifice; best wishes!
 
Duh! mkuu kwa hiyo hali ikizidi hapo,utafatia jioni au asubuhi....
 
Back
Top Bottom