Nimeamua niwe muaminifu kwa mke wangu

Nimeamua niwe muaminifu kwa mke wangu

leo utaficha ila maandiko yamesema siku ya mwisho Mungu ataweka bonge msiklinitv alafu ata replay mambo yako yote hadharani, sasa sijui itakuwa umeficha nini?
MKUU SAMAHANI NAOMBA KIFUNGU CHA MAREJEO KWENYE BIBLIA AU QURAN NIKASOME HUU MSTARI UNAOSEMA HIVI
 
Habari wakuu natumaini hamjambo

Wakuu kama title inavyojieleza nimeamua tu niwe muaminifu kwa mke wangu ili azidi kuniamini kama mume wake yafuatayo ndio niliyo yafanya ili kuongeza uaminifu

1:kuna rafiki yangu alikuja kuniambia kamuona wife sehem yupo na jamaa wanakula bata kama siamini eti niende nae nikajirizishe,kiufupi sikujali maana nikaona kama ugombanishi,alivyorudi jion nikaamua kumsimulia jinsi jamaa alivyoongea akaniuliza kakwambia nani,nikamtaja sio siri wife akamfuata huko huko akaenda kumsuta,siku ya pili nimekutana na jamaa kanilia buyu,nikasema sijali kila mmoja na maisha yake..

2:leo nilipata mchepuko,bahati mbaya nilichelewa kurudi home nilivyorudi nikamuambia wife yote, mpaka bei ya logde nilioenda kulia mbususu, huyo mchepuko,na kumsifia juu anajua kukatia......... inaendelea

Nb wakuu kwa nini tufiche mambo bora tuonyeshe tu uaminifu kwa watu wetu, leo utaficha ila maandiko yamesema siku ya mwisho Mungu ataweka bonge msiklinitv alafu ata replay mambo yako yote hadharani, sasa sijui itakuwa umeficha nini?
bora tuwekane wazi, ikifika siku ya mwisho mnamwambia tyu Mungu haina haja sisi tayari tumeshahukumiana duniani tunaomba tuingie tu moja kwa moja mbinguni tukapumzike

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wewe umechagua kuwa muwazi na sio kuwa muaminifu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
MKUU SAMAHANI NAOMBA KIFUNGU CHA MAREJEO KWENYE BIBLIA AU QURAN NIKASOME HUU MSTARI UNAOSEMA HIVI
Mkuu kwa kweli na mm mwenyewe naendelea kuufuatilia,mana niliambiwaga huko ibadani, yakuwa itakuwa hivyo.
 
Ni jambo zuri kuwa muaminifu lkn hapo kwenye kumwambia ukwel wa jambo ulikuwa unataka kufanya sio powa kbsa
 
Siku nyingine ya ukweli hutoambiwa, Wanaume hatunaga umbea.

Ukiwa mwanaume jifunze kua na frji linalogandisha
Mkuu mimi binafs yangu nimechagua kutoambiwa mana unaweza kufa kwa presha kwa vitu vidogo ambavyo havina msingi wakat vinaweza kuepukwa ndio maana wanaume tunawahi kufa kwa kuweka mambo rohoni
 
Habari wakuu natumaini hamjambo

Wakuu kama title inavyojieleza nimeamua tu niwe muaminifu kwa mke wangu ili azidi kuniamini kama mume wake yafuatayo ndio niliyo yafanya ili kuongeza uaminifu

1:kuna rafiki yangu alikuja kuniambia kamuona wife sehem yupo na jamaa wanakula bata kama siamini eti niende nae nikajirizishe,kiufupi sikujali maana nikaona kama ugombanishi,alivyorudi jion nikaamua kumsimulia jinsi jamaa alivyoongea akaniuliza kakwambia nani,nikamtaja sio siri wife akamfuata huko huko akaenda kumsuta,siku ya pili nimekutana na jamaa kanilia buyu,nikasema sijali kila mmoja na maisha yake..

2:leo nilipata mchepuko,bahati mbaya nilichelewa kurudi home nilivyorudi nikamuambia wife yote, mpaka bei ya logde nilioenda kulia mbususu, huyo mchepuko,na kumsifia juu anajua kukatia......... inaendelea

Nb wakuu kwa nini tufiche mambo bora tuonyeshe tu uaminifu kwa watu wetu, leo utaficha ila maandiko yamesema siku ya mwisho Mungu ataweka bonge msiklinitv alafu ata replay mambo yako yote hadharani, sasa sijui itakuwa umeficha nini?
bora tuwekane wazi, ikifika siku ya mwisho mnamwambia tyu Mungu haina haja sisi tayari tumeshahukumiana duniani tunaomba tuingie tu moja kwa moja mbinguni tukapumzike

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo point namba 2 nimegundua bila kupapasa hii ni story ya kutunga...
 
Hapana Mkuu sio ya kutungwa ni wazi ila huwa napima kwanza kwa siku hiyo yupo vipi, pia huweza tu ukakulupuka na kuanza kusimulia, lazima usome mchezo jinsi ke huwa inageuza maneno kwenye sio huweka ndio nk,kwahiyo huchukuliwa kama namtania ila Mungu hujua huyu hapa anasema ukweli
 
Katika watanzania 10 , watanzania 8 ni machizi, waliobakia wapuuzi
Kwahiyo Mkuu kuwa muwazi ni uchizi au ndio yale mwana akifanya kazi tra akifa masikini analaumiwa mwana alikuwa mjinga nafasi alishapata, na akiiba mwana alikuwa fisadi
 
Mkuu jamaa amekuwa muaminifu kwako kama ambavo wewe unadai umekuwa muaminifu kwa Wife wako...
Tatizo jamaa yangu nae anatabia za u snich kashawah pita na manzi yangu hapo kitambo
 
Back
Top Bottom