Nimeamua niwe muaminifu kwa mke wangu

leo utaficha ila maandiko yamesema siku ya mwisho Mungu ataweka bonge msiklinitv alafu ata replay mambo yako yote hadharani, sasa sijui itakuwa umeficha nini?
MKUU SAMAHANI NAOMBA KIFUNGU CHA MAREJEO KWENYE BIBLIA AU QURAN NIKASOME HUU MSTARI UNAOSEMA HIVI
 
Nadhani wewe umechagua kuwa muwazi na sio kuwa muaminifu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
MKUU SAMAHANI NAOMBA KIFUNGU CHA MAREJEO KWENYE BIBLIA AU QURAN NIKASOME HUU MSTARI UNAOSEMA HIVI
Mkuu kwa kweli na mm mwenyewe naendelea kuufuatilia,mana niliambiwaga huko ibadani, yakuwa itakuwa hivyo.
 
Ni jambo zuri kuwa muaminifu lkn hapo kwenye kumwambia ukwel wa jambo ulikuwa unataka kufanya sio powa kbsa
 
Siku nyingine ya ukweli hutoambiwa, Wanaume hatunaga umbea.

Ukiwa mwanaume jifunze kua na frji linalogandisha
Mkuu mimi binafs yangu nimechagua kutoambiwa mana unaweza kufa kwa presha kwa vitu vidogo ambavyo havina msingi wakat vinaweza kuepukwa ndio maana wanaume tunawahi kufa kwa kuweka mambo rohoni
 
Kwahiyo point namba 2 nimegundua bila kupapasa hii ni story ya kutunga...
 
Kwahiyo point namba 2 nimegundua bila kupapasa hii ni story ya kutunga...
Hapana Mkuu sio ya kutungwa ni wazi ila huwa napima kwanza kwa siku hiyo yupo vipi, pia huweza tu ukakulupuka na kuanza kusimulia, lazima usome mchezo jinsi ke huwa inageuza maneno kwenye sio huweka ndio nk,kwahiyo huchukuliwa kama namtania ila Mungu hujua huyu hapa anasema ukweli
 
Katika watanzania 10 , watanzania 8 ni machizi, waliobakia wapuuzi
Kwahiyo Mkuu kuwa muwazi ni uchizi au ndio yale mwana akifanya kazi tra akifa masikini analaumiwa mwana alikuwa mjinga nafasi alishapata, na akiiba mwana alikuwa fisadi
 
Mkuu jamaa amekuwa muaminifu kwako kama ambavo wewe unadai umekuwa muaminifu kwa Wife wako...
Tatizo jamaa yangu nae anatabia za u snich kashawah pita na manzi yangu hapo kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…