Nimeamua niwe muaminifu kwa mke wangu

Aisee. Ila hiyo skrini haitakuwepo siku ya mwisho
 
Huko shetani atakakotokea hutamuona kaingia kwa mlango gani na kafika kwa usafiri gani.. Utashangaa huyo keshajaa ndani ya nyumba..
Pamoja na nia yako njema lakini usiache kumtanguliza Mungu
 
Huko shetani atakakotokea hutamuona kaingia kwa mlango gani na kafika kwa usafiri gani.. Utashangaa huyo keshajaa ndani ya nyumba..
Pamoja na nia yako njema lakini usiache kumtanguliza Mungu
asante kwa ushauri murua
 
pole Sana mkuu,Ila unafanya kosa kubwa Sana!! umeambiwa uishi nae kwa ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…