Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Nenda kesho kamuone boss mmoja umweleze ukweli..mbona unakata tamaa mapema sana ? Kha! Nenda na 50 tu...
Sasa hiyo 50 ndo leseni? au hawatakuja tena dukani kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kesho kamuone boss mmoja umweleze ukweli..mbona unakata tamaa mapema sana ? Kha! Nenda na 50 tu...
Hujui tunaishije mjini eh? Atafte leseni..hiyo anawapoza wasifunge biasharaSasa hiyo 50 ndo leseni? au hawatakuja tena dukani kwake
Usikate tamaa nenda manispaa kakate leseni .Yani nimepata ka hela kidgo baada ya kuachishwa kaZi nikasema ngoja nianzishe kibiashara tena cha mtaji wa million mbili leo hii watu wa wamanispaa wamenikamata wanataka nilipe fine ya laki nne Na nusu Na biashara yenyewe kila siku nalala tu ofisini,Kwa anayehitaji nimuuzie biashara ya vinywaji baridi anaweza kuni pm frem iko tabata bima ngoja nikalime tuu
Funga tu Mkuu. Ukalime, huko ni mteremko kabisa yaani kitonga, hakuna challenges kabisa.Kutokua Na leseni ya biashara.biashara yenyewe hata mwezi haina
Hujui tunaishije mjini eh? Atafte leseni..hiyo anawapoza wasifunge biashara
natamani hata nimsaidie ujue. Kheee.Nenda kesho kamuone boss mmoja umweleze ukweli..mbona unakata tamaa mapema sana ? Kha! Nenda na 50 tu...
Funga tu Mkuu. Ukalime, huko no mteremko kitonga, hakuna challenges kabisa.
Naona unadhani hii dunia ya baba yako. Unategemea hawa watu wa Manispaa wakufuate wakubembekeze uendelee na biashara.
Hahahahahaha napenda vibe zako balaa..hapa mjini ukijiweka kinyonge unanyongeka mapeeeemaaaa!Funga tu Mkuu. Ukalime, huko ni mteremko kabisa yaani kitonga, hakuna challenges kabisa.
Naona unadhani hii dunia ya baba yako. Unategemea hawa watu wa Manispaa wakufuate wakubembeleze uendelee na biashara.
Nimemuuliza leseni bei gani? Ifike wakati tufuate taratibu kwenye biashara. Amesema mtaji 2m, pango 45,000 ni kiduka kidogo ambacho leseni sidhani kama itazidi 50,000/-. Kweli kwenye mtaji wako wa 2m unashindwa kulipa leseni.Nenda kesho kamuone boss mmoja umweleze ukweli..mbona unakata tamaa mapema sana ? Kha! Nenda na 50 tu...
Yaani sijui watu wanakichukuliaje kilimo jamani...bora wangesema kipindi cha Kikwete wamama kibao wa dar walikua wanafata mboga za majani mikoani..leo hii njia nzima ya dar ina michicha,chinese,twmbele,tikiti..yaan unalima unaishia kuuza kwa bei za hasara...Funga tu Mkuu. Ukalime, huko ni mteremko kabisa yaani kitonga, hakuna challenges kabisa.
Naona unadhani hii dunia ya baba yako. Unategemea hawa watu wa Manispaa wakufuate wakubembeleze uendelee na biashara.
Hio ili asipigwe faini 250,000/-Sasa hiyo 50 ndo leseni? au hawatakuja tena dukani kwake
Yeye anadhani watu wengine wanaofanya biashara kila siku wao huwa hawapati hayo matatizo.Hahahahahaha napenda vibe zako balaa..hapa mjini ukijiweka kinyonge unanyongeka mapeeeemaaaa!
UmefukuaVipi hii iliishia wapi mkuu?? maana hii kitu ni adui wa biashara
Nina bahati ya kupendwa na wanawake wajawazito
Nina bahati ya kupendwa na wanawake wajawazito
Wandugu nimekua Na bahati au sijui niitaje ila wanawake wengi wajawazito wamekua wakivutiwa Na mimi Na pindi wakijifungua wanakua hawanipendi tena,wengi huna Wananambia eti kipindi kile cha ujauzito nilikua nakupenda Na nilikua nataka unigegede na hii imetokea kwa wanawake wengi sana toka nipo...www.jamiiforums.com
Duh some tough love.Funga tu Mkuu. Ukalime, huko ni mteremko kabisa yaani kitonga, hakuna challenges kabisa.
Naona unadhani hii dunia ya baba yako. Unategemea hawa watu wa Manispaa wakufuate wakubembeleze uendelee na biashara.
Leseni ya 50k? Hakuna...inaazia 120 kama sikosei...tunaanzaga na biashara kwanza then inafuata lesenj walai 3 mthsNimemuuliza leseni bei gani? Ifike wakati tufuate taratibu kwenye biashara. Amesema mtaji 2m, pango 45,000 ni kiduka kidogo ambacho leseni sidhani kama itazidi 50,000/-. Kweli kwenye mtaji wako wa 2m unashindwa kulipa leseni.
Anatakiwa ajifunze sasa, alipe faini au hio uliomwambia afanye biashara sio kukimbia changamoto.
Usichanganye leseni na kodi. Viduka vya Mangi sidhani kama inazidi 50kLeseni ya 50k? Hakuna...inaazia 120 kama sikosei...tunaanzaga na biashara kwanza then inafuata lesenj walai 3 mths
Hakuna sehemu isiyo na changamoto..yaani ni changamoto kweli kweli!hii nchi usipokubali matakwa yao utaumia sana..Yeye anadhani watu wengine wanaofanya biashara kila siku wao huwa hawapati hayo matatizo.
Tena tatizo alilonalo ni dogo, kama ameshindwa kulitatua afunge tu biashara maana huko mbele atakuja kufa kabisa.
Sawa mkuuUsichanganye leseni na kodi. Viduka vya Mangi sidhani kama inazidi 50k
Unapoanza ni muhimu kuanza na leseni sio hadi uuze
Tbt bima sehemu ganiFrem nalipia elfu 45 ni duka Dgo sana