Nimeamua rasmi kufunga biashara

Nimeamua rasmi kufunga biashara

Yani nimepata ka hela kidgo baada ya kuachishwa kaZi nikasema ngoja nianzishe kibiashara tena cha mtaji wa million mbili leo hii watu wa wamanispaa wamenikamata wanataka nilipe fine ya laki nne Na nusu Na biashara yenyewe kila siku nalala tu ofisini,Kwa anayehitaji nimuuzie biashara ya vinywaji baridi anaweza kuni pm frem iko tabata bima ngoja nikalime tuu
Usikate tamaa nenda manispaa kakate leseni .

Mbona simple tu

Mimi jana nimerenew liseni zangu mbili

Wewe mwanaume pigana kiume utatoboa tua
 
Funga tu Mkuu. Ukalime, huko no mteremko kitonga, hakuna challenges kabisa.

Naona unadhani hii dunia ya baba yako. Unategemea hawa watu wa Manispaa wakufuate wakubembekeze uendelee na biashara.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu mnaweza ua watu kwa uchungu
 
Funga tu Mkuu. Ukalime, huko ni mteremko kabisa yaani kitonga, hakuna challenges kabisa.

Naona unadhani hii dunia ya baba yako. Unategemea hawa watu wa Manispaa wakufuate wakubembeleze uendelee na biashara.
Hahahahahaha napenda vibe zako balaa..hapa mjini ukijiweka kinyonge unanyongeka mapeeeemaaaa!
 
Nenda kesho kamuone boss mmoja umweleze ukweli..mbona unakata tamaa mapema sana ? Kha! Nenda na 50 tu...
Nimemuuliza leseni bei gani? Ifike wakati tufuate taratibu kwenye biashara. Amesema mtaji 2m, pango 45,000 ni kiduka kidogo ambacho leseni sidhani kama itazidi 50,000/-. Kweli kwenye mtaji wako wa 2m unashindwa kulipa leseni.
Anatakiwa ajifunze sasa, alipe faini au hio uliomwambia afanye biashara sio kukimbia changamoto.
 
Funga tu Mkuu. Ukalime, huko ni mteremko kabisa yaani kitonga, hakuna challenges kabisa.

Naona unadhani hii dunia ya baba yako. Unategemea hawa watu wa Manispaa wakufuate wakubembeleze uendelee na biashara.
Yaani sijui watu wanakichukuliaje kilimo jamani...bora wangesema kipindi cha Kikwete wamama kibao wa dar walikua wanafata mboga za majani mikoani..leo hii njia nzima ya dar ina michicha,chinese,twmbele,tikiti..yaan unalima unaishia kuuza kwa bei za hasara...
Kilimo tuwaachie matajiri jamani
 
Vipi hii iliishia wapi mkuu?? maana hii kitu ni adui wa biashara

Nina bahati ya kupendwa na wanawake wajawazito
Umefukua
[emoji23][emoji23]
 
Nimemuuliza leseni bei gani? Ifike wakati tufuate taratibu kwenye biashara. Amesema mtaji 2m, pango 45,000 ni kiduka kidogo ambacho leseni sidhani kama itazidi 50,000/-. Kweli kwenye mtaji wako wa 2m unashindwa kulipa leseni.
Anatakiwa ajifunze sasa, alipe faini au hio uliomwambia afanye biashara sio kukimbia changamoto.
Leseni ya 50k? Hakuna...inaazia 120 kama sikosei...tunaanzaga na biashara kwanza then inafuata lesenj walai 3 mths
 
Yeye anadhani watu wengine wanaofanya biashara kila siku wao huwa hawapati hayo matatizo.

Tena tatizo alilonalo ni dogo, kama ameshindwa kulitatua afunge tu biashara maana huko mbele atakuja kufa kabisa.
Hakuna sehemu isiyo na changamoto..yaani ni changamoto kweli kweli!hii nchi usipokubali matakwa yao utaumia sana..
 
Back
Top Bottom