Nimeamua rasmi nianze ku Date mishangazi TU na ikiwezekana nioe kabisa mmoja

Ah mambo ya kubaki ya nini tena wewe...mie principle yangu sii unaijua mnyamwezi wewe...mie nagegeda mara tatu tuu...baada ya hapo nasepa maana najua nitagundua kwapa sii zuri mara Tako limepinda
Aahahahahaa hapo kwenye kwapa nkmechekaa 😆😆😆😆😆😜

Umenikumbusha jamaa mmoja, bestee; ananiambiaga Kasinde mimi nikiona kwapa la mwanamke idhaa ya taifa inakamata mkongo eehehehehehe😅😅😅😅

Isijekuta ni wewe, maana na yeye ni kitoo mbii balaa 😜😜.
 
mhm isisje ikawa tunajana wewe...kwapa lina raha yake bwaa asikwambie mtu
 
mhm isisje ikawa tunajana wewe...kwapa lina raha yake bwaa asikwambie mtu

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
👋👋👋🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Nipe channel dar mkuu kamoja ka enikimbia
 
Napitatyu
 

Attachments

  • Screenshot_20241017-061440_Lite.jpg
    390.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241017-061444_Lite.jpg
    380 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…