Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

Tofauti ya huyu tayari anacheck number ana chance akienda kusoma anaweza kubadilishiwa kazi kama atapata nafasi sababu wilaya nyingi hazina mait wanaotosha.
Hapo sawa,shida ni ruhusa mana haendi ksoma education
 
Laiti ungejuwa hata kidgo mazingira ya biashara nnchi hi bas ungemshauri kijana akaongezee elimu tu

Biashara Ni nyoko utamsababisha kijana ajiingize kwenye ushirikina
Mazingira ya biashara Tanzania hii ni kukomaa nayo nina uzoefu sasa miaka 13 . Labda huyo mwenzetu spirit ya biashara hana na ana malengo mengine... Mi akinipa hiyo ml 15 cash mwezi wa kumi na mbili nampa double yake.
 
Ni kweli wapo watu wana njia tayari, namimi natamani nipate njia pia.
 
Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.

Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.

Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.

Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
Mkuu, usisikilize ushauri tofauti na huu
[emoji116]
Nenda kapige shule.
Usitishwe na lolote.
Cha muhimu hakikisha hiyo pesa haipotei kwenye vitu vya anasa kiasi cha kuleta majuto.
Ukishindwa kuifanyia biashara kabisa kwa sasa- nunua ardhi ya uhakika sehemu yenye thamani.

MSISITIZO;
Soma, aliyesoma kasoma, ipo faida kubwa utaipata kupitia kusoma kwako- uzuri zaidi ni kwamba tayari u mtumishi wa umma.

Usirudi nyuma, wala usibadilishe wazo, PIGA SHULE!!!
 
Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.

Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.

Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.

Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
Labda kabla ya kusoma jiulize, unataka kusoma ili iweje? Upate cheti kingine, upate ajira nyingine au ujiajiri??
NI kweli ICT inalipa kuliko ualimu hivyo sio mbaya lakini kabla ya kusoma tafakari malengo yako yapo wapi, kama nia ni kuja kusaka ajira hujakosea. Ila kama ni kuongeza ujuzi na kujiajiri hebu tafakari mavyeti ni kupoteza muda unaweza kusoma online tu course unazotaka zote zipo kuanzia Youtube, Udermy hata Havard free au kwa small subscription charge.
 
Biashara gani mkuu kwa kigoma huku? Ningekua mikoa mikubwa at least ningeweza kuzisoma fursa kigoma hakuna fursa, mzunguko haupo kabisa.
Sasa kumbe unajua ukiwa mikoa mikubwa unatoboa si uchukue milioni mbili katika hiyo milion 15 uchezeshe uhamie hiyo mikoa mikubwa, ukafanye biashara

Unayumba wapi mwalimu yani degree moja imekupa milioni 15 huoni ni fursa hiyo kumbuka kama umekosa cha kufanya hata ukienda kusoma kozi nyingine ukirudi pia utakosa cha kufanya uko halmashauri hakuna maajabu zaidi ya wizi wizi wizi wizi wa fedha za mali ya umma so unaweza kuiba siyo muoga

haya ngoja nikushauri si unamzuka wakufanya kazi halmashauri bado achana na hayo mambo sijui IT sijui business administration utakufa njaa haya rudi shule chukua hizi course ili uende halmashauri ukaibe sawa nenda kasome uhasibu au manunuzi tena kafanye degree acha sijui post nini no anza degree sawa si upo kwenye system bwana
 
mwenyewe nafikiria kwenda kusoma ila sasa nawaza nafamilia tayari mke na watoto wawili, yaani nikatoe hela nilipe ada hizo hela zinaniuma, pili nikisha hitimu hicho kisomo kitanisaidia nini hapa nina miaka 31.
Nenda kasome tutakusaidia kumlinda shemeji na watoto.
 
Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.

Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.

Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.

Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
Wacha kupoteza time yako Mpango mzima wa Maisha ni BIASHARA tu Utakuwa HURU you are the BOSS .Labda ushaahidiwa ubunge sema kweli tu .
 
Back
Top Bottom