Optimists
JF-Expert Member
- Oct 17, 2021
- 379
- 1,082
- Thread starter
- #221
Wewe jamaa umemaliza kila kitu na inaonekana kigoma unaijua vizuri mno, huku kati ya watu 100, 99 wanaamini kuhusu mambo ya uchawi na 98 wanaufanya kabisa either kujikinga au kuroga, wasiofanya wengi ni watu wa kuja (watumishi)..ww hujiulizi kwann kwa tanzania hii... hakuna muha yoyote ambaye amefanikwa mjini anataka kurudi kujenga kwao kigoma ... ??? nimekaa kigoma karibia yote kasulu, kibondo , kakonko, kgm mjini kote tabia ni zile nimeishi zaid ya miaka nane watu hawataki maendeleo huko... Huko mtu unaendae kupiga masanga unasema huyu mwana ukienda kukojoa tu anakuweke sumu kwenye kinywaji!!! Ukiona mji mchaga umemshinda jua hakuna biashara huo mji
Kigoma ni ngumu kuwekeza kwanza kwa uchache wa watu, Kuna soko la mitumba seremala ukipita hata mchana hamna movement yoyote ya watu, ni kama kijiwe cha kwenda kukutana, masanga stand mpya napo hakuna biasahara, sasa najiuliza je niteketeze Millon 15 na Mimi nipate sifa Nina biashara ambayo haitanipa faida?.....niliwaza mpaka nifungue nafaka niwe creative kwa kutengeneza vipeperushi nivisambaze mji mzima, lakini nikaona kwa kigoma hii ukiwa wa utofauti lazima wakupoteze tu, ndio maaana nikapata wazo la kusoma kwanza, miaka 3 sio mingi, inaweza kua ni njia ya kuchomoka kwenda taasisi zingine.