Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee very sadNyie watu mnaongea tu hamuijui kigoma vzuri... mm namuelewa jamaa kwasbb nimeishi kigoma huku hata uwe na million 100 kama sio mwenyeji wa kigoma inaweza kuisha bila ww kujua...!!! Ww mkoa wachanga wameushindwa unafikiri kuna biashara hapo
Hawaelewi mkuu, kigoma sio mji wa kuwekeza, hela itapotea yote mwisho wa siku nimekata shauri ya kusoma hiyo IT, uzuri mimi ni mtu wa msuli nitapambania wanipe ruhusa kwenda chuo wakininyima nitakula open tu.Nyie watu mnaongea tu hamuijui kigoma vzuri... mm namuelewa jamaa kwasbb nimeishi kigoma huku hata uwe na million 100 kama sio mwenyeji wa kigoma inaweza kuisha bila ww kujua...!!! Ww mkoa wachanga wameushindwa unafikiri kuna biashara hapo
Shukrani sana mkuu hapo umemaliza Kila kitu.1. Ruhusa ya kwenda chuo
Ruhusa hutolewa tu ukipata barua ya kuthibitishwa.
Hayo ya miaka mi3 kwanza achana nayo..!!
Mfano:- niliajiriwa Feb/2012 na May/2013 nilipata barua ya kuthibitishwa Ila Oct/2013 nilienda chuo kusoma bach..!!
Niliongea na watu (wasaidizi wa mkuu wa idara wa kipindi hicho) nikavaa viatu.
2. Tunakubaliana kwamba serikali haiajili Masters, hivyo bachelor mpya kwako lazima.
Mimi niliajiriwa na diploma ya kitu x ila nilienda kusoma kitu y.
Wakati huo nipo katani, hivyo sikuwa na taarifa yoyotee kwamba "halmashauri fani fulani haina watu" ila nilienda kusoma ile course ya ndoto zangu.
Hivyo kilichonipeleka shule hakikua kwamba nimeona fursa idara fulani Ila ni moyo ndio uliochagua course.
Hivyo nilienda chuo kutimiza matamanio yangu na ndoto zangu za elimu.
3. Chukua huu mfano:-
I. Kuna jamaa angu alisoma bachelor of science in education with IT.
Akawa anasaidia halmashauri kama IT, ila haikuwezekana kufanyiwa recategorization ya u-IT kutoka ualimu hivyo ilimlazima kusoma tena U-IT bachelor mpya, alifanya hivyo na sasa ni Afisa Tehema wa halmashauri yetu.
2. Kuna jamaa angu yeye alikuwa ni mwalimu, hivyo yeye alisoma Accounts by means of NBAA, akaanza foundation mpaka CPA, sasa hivi anasubiri recategorization (kamaliza bachi iliyopita ya CPA). Ila yeye Alikuwa mjini, hivyo evening classes kwake haikuwa shida kabisaaa.
4. Nakushauri omba ruhusa kasomee huo U-IT unaoupenda.
Je ruhusa ya miaka 3, sasa hapo sijui kwa halmashauri yako.
Ila kwangu, niliomba kusoma bachelor nikapata ruhusa.
Bachelor ilivyoisha nikarudi kazini na swaga za kuwa nimepata scholarship ya masters (ulikuwa Uongo mtupu) nikawajaza wakajazika. Nikaenda kusoma masters..!!!
Kwahiyo mi naamini kwenye hiyo idara ya elimu yupo mtu hapo halmashauri mnaelewa hebu mfate akusafishie njia kwa mkuu wa idara. Au tafuta uongo wowote ukauombee ruhusa..!!!
5. Chakukushauri, soma mapemaa kabla ya majukumu kuanza.
Miaka 26 ni perfect sanaa, komaa kwanza na elimu kabla ya familia.
Mimi hili jambo la kutokuwa na familia masomo kulinifanya shule iwe mtelezo sanaa. Ila kwasasa nilivyopata watoto tu "Basi PhD nimekuwa naitafakari sanaa kwasababu ya kuacha wanangu mimi nipande ndege""
6. Biashara
Hili jambo ni akili yako tu.
Binafsi Mimi kazini kwangu siku ona fursa na mpaka Leo sijaona fursa niliyoielewa.
Wakati nasoma nilianzisha biashara ya stationery huko huko chuoni (nilienda chuo na mil 7 saving) ilikuwa kubwaa, niliifanya kwa miaka 3 nilivyomaliza bachelor nikaiuza na kupata hela/ada ya masters.
KASOME KILE UNACHOPENDA NA KASOME MAPEMA SANAAA.
Hayo ya biashara yenyewe yatajiset kutokana na exposure unayoendelea kuipokea unavyo zurura kwenye hii dunia..!!!
Tuendelee kujadili.
#YNWA
Unamiaka 26 umesema naomba kujua yafuatayoWakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.
Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.
Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.
Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
Mikoa mikubwa inahitaji mtaji mkubwa piaBiashara gani mkuu kwa kigoma huku? Ningekua mikoa mikubwa at least ningeweza kuzisoma fursa kigoma hakuna fursa, mzunguko haupo kabisa.
Kwani hiyo 15mln uliipataje? Nadhani uendeleze hapohapo, kama umeuza miti ya babu hapo sawa.Betting nimeliwa sana sioni mapya kupitia betting, hata hiyo million 15 inaweza kubaki 0 kwa muda wa mwezi mmoja TU, Sasa kama Jana liver kafungwa na Atalanta utamshawishi nani aone betting ni Bora?
Ahsante Kwa kunikumbusha!Health service? Management ?
Mkuu hiii kozi mzumbe haipo
Pale inaitwa Health system management, yaani unasoma afu ata jina la kozi yako hulijui?
Umehitimisha vizuri sana.1. Ruhusa ya kwenda chuo
Ruhusa hutolewa tu ukipata barua ya kuthibitishwa.
Hayo ya miaka mi3 kwanza achana nayo..!!
Mfano:- niliajiriwa Feb/2012 na May/2013 nilipata barua ya kuthibitishwa Ila Oct/2013 nilienda chuo kusoma bach..!!
Niliongea na watu (wasaidizi wa mkuu wa idara wa kipindi hicho) nikavaa viatu.
2. Tunakubaliana kwamba serikali haiajili Masters, hivyo bachelor mpya kwako lazima.
Mimi niliajiriwa na diploma ya kitu x ila nilienda kusoma kitu y.
Wakati huo nipo katani, hivyo sikuwa na taarifa yoyotee kwamba "halmashauri fani fulani haina watu" ila nilienda kusoma ile course ya ndoto zangu.
Hivyo kilichonipeleka shule hakikua kwamba nimeona fursa idara fulani Ila ni moyo ndio uliochagua course.
Hivyo nilienda chuo kutimiza matamanio yangu na ndoto zangu za elimu.
3. Chukua huu mfano:-
I. Kuna jamaa angu alisoma bachelor of science in education with IT.
Akawa anasaidia halmashauri kama IT, ila haikuwezekana kufanyiwa recategorization ya u-IT kutoka ualimu hivyo ilimlazima kusoma tena U-IT bachelor mpya, alifanya hivyo na sasa ni Afisa Tehema wa halmashauri yetu.
2. Kuna jamaa angu yeye alikuwa ni mwalimu, hivyo yeye alisoma Accounts by means of NBAA, akaanza foundation mpaka CPA, sasa hivi anasubiri recategorization (kamaliza bachi iliyopita ya CPA). Ila yeye Alikuwa mjini, hivyo evening classes kwake haikuwa shida kabisaaa.
4. Nakushauri omba ruhusa kasomee huo U-IT unaoupenda.
Je ruhusa ya miaka 3, sasa hapo sijui kwa halmashauri yako.
Ila kwangu, niliomba kusoma bachelor nikapata ruhusa.
Bachelor ilivyoisha nikarudi kazini na swaga za kuwa nimepata scholarship ya masters (ulikuwa Uongo mtupu) nikawajaza wakajazika. Nikaenda kusoma masters..!!!
Kwahiyo mi naamini kwenye hiyo idara ya elimu yupo mtu hapo halmashauri mnaelewa hebu mfate akusafishie njia kwa mkuu wa idara. Au tafuta uongo wowote ukauombee ruhusa..!!!
5. Chakukushauri, soma mapemaa kabla ya majukumu kuanza.
Miaka 26 ni perfect sanaa, komaa kwanza na elimu kabla ya familia.
Mimi hili jambo la kutokuwa na familia masomo kulinifanya shule iwe mtelezo sanaa. Ila kwasasa nilivyopata watoto tu "Basi PhD nimekuwa naitafakari sanaa kwasababu ya kuacha wanangu mimi nipande ndege""
6. Biashara
Hili jambo ni akili yako tu.
Binafsi Mimi kazini kwangu siku ona fursa na mpaka Leo sijaona fursa niliyoielewa.
Wakati nasoma nilianzisha biashara ya stationery huko huko chuoni (nilienda chuo na mil 7 saving) ilikuwa kubwaa, niliifanya kwa miaka 3 nilivyomaliza bachelor nikaiuza na kupata hela/ada ya masters.
KASOME KILE UNACHOPENDA NA KASOME MAPEMA SANAAA.
Hayo ya biashara yenyewe yatajiset kutokana na exposure unayoendelea kuipokea unavyo zurura kwenye hii dunia..!!!
Tuendelee kujadili.
#YNWA
Umeongea vyema sanaa, kusoma ukiwa na familia ni MTIHANI MKUBWA.mwenyewe nafikiria kwenda kusoma ila sasa nawaza nafamilia tayari mke na watoto wawili, yaani nikatoe hela nilipe ada hizo hela zinaniuma, pili nikisha hitimu hicho kisomo kitanisaidia nini hapa nina miaka 31.
Hapa umetisha.There you are...usikubali kwnd kupoteza miaka mingine mingi ya kujaza theory kichwani...mfano sheria ni 4yrs na ukitoka hapo utatakiwa upitie law school ili uwe cerified lawyer ..je umejiandaa na competition ya soko? Ukienda Veta chagua kitu unachokipenda kisomee in practicals ukitoka hapo ww ni fundi anzisha ofisi pokea tender kula hela...
Well said!sema una busara ungelijibu vibaya ningejua IQ yako cha kufanya tafuta connection ya kuhamia maeneo yenye biashara na vyuo kwa ajili ya kusoma.
Na maanisha usipohama hilo eneo ukahamia sehemu zenye mzunguko wa hela kama Dar... utaenda kusoma ukimaliza utarudishwa huko huko pia hadi upewe IT au cheo chochote ni connection.
Tafuta connection ya uhamisho ama nenda kusoma ila weka akilini neno kuhama na connection.
ukiendelea kuwaza kufanyiwa re-cate utatumia nguvu kubwa halafu mwisho utakuja kukata tamaa maana mshahara ni mshahara tu hautoshi.
Nikupongeze kitu kimoja umeshagundua kuwa ajira ni utumwa. Neno mtumishi kwa mimi mwanalugha (a linguist PhD) limejificha kwenye maana ya msingi "mtu anayetumwa" yaani anayetumika kwa niaba ya mtu fulani ambaye anapata faida kukutumia anavyotaka.
Poor Brain Intelligent businessman