Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
πππππππyour comment is too ironical may you please come up with the direct one?
Poor Brain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππyour comment is too ironical may you please come up with the direct one?
Poor Brain
ππππππππππMimi mtu serious ila kila nikianza kuongea watu wanacheka yaan furaha tupu ukikutana na mimi ukichukia ni ww
Nilipata mikopo ya hazina million 19, nne ninakunua kiwanja mwanza, zingine ndio hizo zilibakiMm nimekaa kigoma almost 6 yrs Wilaya ya buhingwe manyovu border
Ww tuliza mshono mdogo wangu hizo 15ml amekukopeaha nan?
Salary yenywe haifiki hata 600k ww
Ww akili Yako Bado ndogo Sana kutokana na utoto na umri wa kazi Na hujui kazi za serekali zinavyoenda
Tafuta mtoto mzuri wa kiha uwe unajionyoshea huweza akakupa changamoto mpya ya akili na mwili
Wewe miaka 6 uliyokaa huko manyovu Kuna kitu cha ziada ulichokipata ukajivunia?Mm nimekaa kigoma almost 6 yrs Wilaya ya buhingwe manyovu border
Ww tuliza mshono mdogo wangu hizo 15ml amekukopeaha nan?
Salary yenywe haifiki hata 600k ww
Ww akili Yako Bado ndogo Sana kutokana na utoto na umri wa kazi Na hujui kazi za serekali zinavyoenda
Tafuta mtoto mzuri wa kiha uwe unajionyoshea huweza akakupa changamoto mpya ya akili na mwili
Nielewe mkuu, sijaacha kazi nataka nisome nikafanyiwe recategorization, pia kua ndani ya ajira (check no) ni rahisi kuliko ambaye yuko nje ya mfumo.Watu wana Masters za information technologies wapo kitaa,jichanganye tu utakumbuka Kigoma.Omba uhamisho nenda Mjini ukatimize ndoto zako,kamwe usiache kazi
Anza kusoma Open University..Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.
Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.
Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.
Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
Kuajiliwa kwa mtu wa kuungaunga tena kwenye mambo ya kushika chaki (mbaya zaidi kigoma?). Nakushauli hama mkoa njoo Dar maeneo ya mbezi mwisho tafuta kona anzisha biashara. Ila zingatia hili: MAFANIKIO YA BIASHARA = AKILI + BUSARA + NGUVU ZA KIROHOWakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.
Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.
Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.
Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
Nakushauri nenda kasome Course inaitwa HSM(Health Service Management) Ukatibu wa Afya inapatikana Mzumbe University na St John University sijajua kama UDOM wameanza kutoa.Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.
Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.
Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.
Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
SawaKwani Mimi naomba kazi upya au nabadilishiwa muundo? Tofautisha kati ya mtu anaeanza upya kuomba ajira na alieko ndani ya system tayari.
Niko manispaa mkuu, mjini hapa, at least ninakuelewa, ningepata nafasi ya kuhama kwenye manispaa au majiji nisingefikiria kwenda kusoma maana ningeanzisha biashara immediately, lakini akili haijatulia kwa sababu sioni fursa za biashara kabisa, mji mgumu huu, Bora kasulu kuliko mjini hapa.Kwa hiyo unataka upoteze pesa na muda kwenda kusoma kwa sababu ya marupurupu
Sasa hauoni pesa zaidi ya hayo marupurupu ungeipata kwenye biashara?
Tumia akili unapofanya maamuzi. Marupurupu wala mshahara havijawahi kutosha
Hapo Kigoma uko halmashauri gani?
Kwani unasemaje??!Ualimu sio kazi ndio unasemaje
Nimetenga mpaka 1.5 m nihame huu mkoa, nifike hata kibaha tu lakini Ngoma imekua ngumu, nadhani kwa sababu sijampata mtu sahii wa kunifanyia mchongo.Kuajiliwa kwa mtu wa kuungaunga tena kwenye mambo ya kushika chaki (mbaya zaidi kigoma?). Nakushauli hama mkoa njoo Dar maeneo ya mbezi mwisho tafuta kona anzisha biashara. Ila zingatia hili: MAFANIKIO YA BIASHARA = AKILI + BUSARA + NGUVU ZA KIROHO
Shukrani sana at least nimepata mtu mwenye mawazo kama ya kwangu, IT walinambia salary hawashushi.Nakushauri nenda kasome Course inaitwa HSM(Health Service Management) Ukatibu wa Afya inapatikana Mzumbe University na St John University sijajua kama UDOM wameanza kutoa. Faida yake ni kwamba ukifanyiwa Recategorizing Salary haitoshuka ila ukisoma Food n Nutrition salary Yao iko chini.
Pia IT no nzuri sana n waliokufanyia recategorizing hutoathirika Salary.
Mm nimesoma Degree ya Educational nimeona NILIKOSEA nimeamua kurudi tena kusoma Health Service Management ila ni msoto mkali sana aisee no Boom lakini najua nilimaliza tu nitakuwa pahala sahihi sana.
Shukrani sana mkuu, kwa sababu ndoto zangu ilikua ni IT na nikaona open university hawatoi hiyo kozi upande wa degree, ndio nikaja na hiyo idea ya uhasibu.Anza kusoma Open University..
Masters ya kitu kingine haitakuongezea kitu kwenye ajira na huwa wanabania wakijua unataka kudiverge kutoka kwenye msingi wako wa elimu ya shahada,
Kwa vile tayari una shahada/degree hawatakuruhusu kwenda kusomea ngazi hiyohiyo ya elimu watakupiga mizengwe..
Ukiamua kuwapiga ujanjaujanja kwenye ruhusa ama aina ya masomo kama ni kauzibe watakufungia mshahara au hata kukushitaki...
KAMA HUNA MPANGO WA KUACHA SERIKALINI BASI SOMA DEGREE UITAKAYO OPEN UNIVERSITY, UKIMALIZA ANZA UTARATIBU WA KUOMBA KUBADILI MUUNDO WA AJIRA AU HATA KUOMBA TAASISI NYINGINE ZA SERIKALI NJE YA MKOA WA KIGOMA.. PAMBANA UPATE GPA NZURI..
Goodluck
Kasome mkuu mi nachangamsha tu genge Kila mtu na riziki yake waweza fika mbali zaidiKwani Mimi naomba kazi upya au nabadilishiwa muundo? Tofautisha kati ya mtu anaeanza upya kuomba ajira na alieko ndani ya system tayari.