Hapo sawa,shida ni ruhusa mana haendi ksoma educationTofauti ya huyu tayari anacheck number ana chance akienda kusoma anaweza kubadilishiwa kazi kama atapata nafasi sababu wilaya nyingi hazina mait wanaotosha.
Hapo sasa ndo kivumbi na jashoHapo sawa,shida ni ruhusa mana haendi ksoma education
Mazingira ya biashara Tanzania hii ni kukomaa nayo nina uzoefu sasa miaka 13 . Labda huyo mwenzetu spirit ya biashara hana na ana malengo mengine... Mi akinipa hiyo ml 15 cash mwezi wa kumi na mbili nampa double yake.Laiti ungejuwa hata kidgo mazingira ya biashara nnchi hi bas ungemshauri kijana akaongezee elimu tu
Biashara Ni nyoko utamsababisha kijana ajiingize kwenye ushirikina
Ni kweli wapo watu wana njia tayari, namimi natamani nipate njia pia.Mazingira ya biashara Tanzania hii ni kukomaa nayo nina uzoefu sasa miaka 13 . Labda huyo mwenzetu spirit ya biashara hana na ana malengo mengine... Mi akinipa hiyo ml 15 cash mwezi wa kumi na mbili nampa double yake.
Mkuu, usisikilize ushauri tofauti na huuWakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.
Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.
Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.
Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
Labda kabla ya kusoma jiulize, unataka kusoma ili iweje? Upate cheti kingine, upate ajira nyingine au ujiajiri??Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.
Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.
Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.
Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
Sasa kumbe unajua ukiwa mikoa mikubwa unatoboa si uchukue milioni mbili katika hiyo milion 15 uchezeshe uhamie hiyo mikoa mikubwa, ukafanye biasharaBiashara gani mkuu kwa kigoma huku? Ningekua mikoa mikubwa at least ningeweza kuzisoma fursa kigoma hakuna fursa, mzunguko haupo kabisa.
mambo ya kiume haya! wengi hawapendi kupambana.Nenda VETA katafute ujuzi hata welding inalipa...
Nenda kasome tutakusaidia kumlinda shemeji na watoto.mwenyewe nafikiria kwenda kusoma ila sasa nawaza nafamilia tayari mke na watoto wawili, yaani nikatoe hela nilipe ada hizo hela zinaniuma, pili nikisha hitimu hicho kisomo kitanisaidia nini hapa nina miaka 31.
Hapo umeupiga mwingiNimeamua kupiga open huku nafanya harakati zangu.
Wacha kupoteza time yako Mpango mzima wa Maisha ni BIASHARA tu Utakuwa HURU you are the BOSS .Labda ushaahidiwa ubunge sema kweli tu .Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.