Nimeandaa majeneza 100, 99 kwa ajili ya maafisa mafisadi, na moja kwa ajili yangu mwenyewe." — Zhu Rongji

Nimeandaa majeneza 100, 99 kwa ajili ya maafisa mafisadi, na moja kwa ajili yangu mwenyewe." — Zhu Rongji

Vipi kauli kama hii angeitoa Waziri Mkuu wetu Mheshimiwa Dr. Mwigulu Lameck Nchemba! Najua yupo humu. Ingekuwa na ukweli kwa asilimia ngapi? Michango yenu tafadhali.....
Majeneza mangapi angeandaa pamoja na lile la kwake!
Tungekuwa tushazika
 
Wakomunisti wachina hawaamini mambo ya mungu kwao ni upuuzi tu wa kufikirika.
The Universe ikamlinda na akafikisha hiyo miaka bila majanga ?!
Au ?!
You reap what you sow ?!
Law of the Universe !
Malipo ni hapa hapa Duniani .
 
Back
Top Bottom