Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 286
- 749
Prof_Adventure_guide
Ingependeza kama ungeweka safari itenary hapa ili mtu aelewe nini ni included na excluded kwenye hiyo 700k. Pili kumbuka wana JF wapo sehemu mbali mbali so unaposema usafiri unamaanisha kuanzia wapi mpka wapi unacover? ni ushahuri tuu