Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 286
- 749
Hivi hiyo unayolipia inaitwa “mchango “ eeh?Nipo Tayari : Deadline ya Mchango lini
Achana nao hao, tuende wawili tu mimi na wewe.Mimi mtanikuta huku huku tuungane jamani niko hapa marangu ni kitu kizuri sana.
Na nilivyomtiifu nimeachana nao tayari. Tutaenda mimi na wewe 😝Achana nao hao, tuende wawili tu mimi na wewe.
Hizi ndio fantasy mwanawane, sometime hata ukipata gape la kutombeaa mochwali fresh.. unajua maeneo kama hayo raha yake huzidi maeneo ya kawaida..Wee jamaa una wild imaginations🤣🤣🤣🤣
Mimi kama member wa Jf, ninaomba nitajie faida kumi zangu binafsi ,za kunifanya nipande mlima Kilimanjaro?Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita.
Tutatumia Marangu Route, ambayo ni the easiest way to climb Kilimanjaro. Safari hii itachukua siku 6, na itakuwa na experience nzuri sana.
Katika safari hii, tutapata chance ya kuona scenery beautiful na mfumo wa ekolojia wa mlima. Hivyo, ni muhimu kuwa na spirit ya teamwork na ushirikiano.
Nawaomba mjitayarishe na tushiriki pamoja katika hii safari ya kipekee. Let's make unforgettable memories!
Morning, how are you?Twende tukapande mlima madam.
Good morning
Ngoja nijiandaa,maana wewe wahitaji msaidizi hakikaTwende tukapande mlima madam.
Good morning
Am very well madam.Morning, how are you?
Stay blessedAm very well madam.
Students are back and the year has begun for u.
Wasalimie wanafunzi wako
Kumbe wewe ni binti wa kimarangu ?😁Mimi mtanikuta huku huku tuungane jamani niko hapa marangu ni kitu kizuri sana.
Nzuri sana tukumbushe mida ya Mei tujiandae.Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita.