Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kanji[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona Muhindi anaenda kujenga ghorofa lingine
[emoji1] [emoji1] [emoji1] .Pole ndo umeanza kukomaa.kikubwa kuwa makini.mkuu mm nimeliwa sana mkuu nadhani inaweza fika 400k, na pesa niliyomla haiwezi fika hata 150k. kubet kumenitoka moyoni kbx naona kawaida siyo kama zamani arosto
Pambana na hali yako teh teh teh.si bora unipe mm dada ako nahangaika na maisha
nina laki,nataka niwape wafungane france na belgium,halafu uingerza nimkatae,hapo nimeona 1.5,2.5, ni nini hicho,naona point kama zote yaaniHawa ni kuwawekea tu over 1.5 au 2.5
Kweli mkuu nimekula sana hela ligi ndogo hizo za Ujerumanijitahidi kubetia amateur ligi.
Masuala ya kutoa magoli mengi ni kawaida.
Usipende kubet ligi kubwa kubwa hazina ishu.
Yes hata mimi ushauri wangu mechi ya franch na ubelgiji weka (both to score) japo mm kidg ningekuwa mimi ningekuwa na mashaka nay ila uhakika ni over 1.5 yaan baada ya mechi juma ya magol yatakuwa ni kuanzia 2 au weka 2.5 over ila mechi ya coratia na uingereza ndugu angu haitabiriki ww weka 1.5 ndio ya uhakikanina laki,nataka niwape wafungane france na belgium,halafu uingerza nimkatae,hapo nimeona 1.5,2.5, ni nini hicho,naona point kama zote yaani
siliwi kiboya hvo..hela bora nikattombeeYes hata mimi ushauri wangu mechi ya franch na ubelgiji weka (both to score) japo mm kidg ningekuwa mimi ningekuwa na mashaka nay ila uhakika ni over 1.5 yaan baada ya mechi juma ya magol yatakuwa ni kuanzia 2 au weka 2.5 over ila mechi ya coratia na uingereza ndugu angu haitabiriki ww weka 1.5 ndio ya uhakika
N.b nakushauri mechi zote hizo mbil weka over 1.5 japo zina ODDS ndog ila nd uhakika
Ndo wapi hukonjo huku kwa wataalamu wa correct score kuwa millionea kwa dk 90
[emoji1] [emoji1]siliwi kiboya hvo..hela bora nikattombee
whasap 0756219037Ndo wapi huko
HA HAaa,, hv correct score kuna watu wanakulaga kweli??njo huku kwa wataalamu wa correct score kuwa millionea kwa dk 90
Elungata Nifundishe kubetInatakiwa mahesabu Makalu sana,beti note note kupunguza hasara,mwenye odd kubwa unaweka pesa kidogo ili kubalance,
Kumbuka ukiona odd ndogo,maana take hiyo time ndo in a probability kubwa ya kushinda,kwa hiyo unaweza kujitoa ufahamu na kuweka pesa ndefu ili ikiitika basis uvune pesa za kutosha,odd nzuri ni zinazoanzia na 2.