Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Betting ina addiction. Ukianza ni vigumu kuacha. Inahitaji nidhamu kama kazi nyingine. Weka limit ya pesa utakayoliwa kwa siku.kubet mara nyingi ili kurudisha peaa uliyopigwa ni makosa utazidi kupigwa.
Usicheze zaidi ya odds 2.5 ni risk sana.
Ushauri: kma ujaanza kucheza huu mchezo achana nao.
Usicheze zaidi ya odds 2.5 ni risk sana.
Ushauri: kma ujaanza kucheza huu mchezo achana nao.