Nimeandaa tsh 100,000/= kwa ajili ya kubet

Nimeandaa tsh 100,000/= kwa ajili ya kubet

Betting ina addiction. Ukianza ni vigumu kuacha. Inahitaji nidhamu kama kazi nyingine. Weka limit ya pesa utakayoliwa kwa siku.kubet mara nyingi ili kurudisha peaa uliyopigwa ni makosa utazidi kupigwa.

Usicheze zaidi ya odds 2.5 ni risk sana.

Ushauri: kma ujaanza kucheza huu mchezo achana nao.
 
njo huku kwa wataalamu wa correct score kuwa millionea kwa dk 90
 
mkuu mm nimeliwa sana mkuu nadhani inaweza fika 400k, na pesa niliyomla haiwezi fika hata 150k. kubet kumenitoka moyoni kbx naona kawaida siyo kama zamani arosto
[emoji1] [emoji1] [emoji1] .Pole ndo umeanza kukomaa.kikubwa kuwa makini.
ila betting sio chanzo cha mapato. Tucheze kujifurahisha.
 
Ukiifanya bet ndiyo source yaķo ya kupata hela utapigwa mpka basi.

ila ukichukulia kama burudani kwmba kama unaendaa bar unapiga bia zako 4 unaenda kulala haitakupa shida.
 
nina laki,nataka niwape wafungane france na belgium,halafu uingerza nimkatae,hapo nimeona 1.5,2.5, ni nini hicho,naona point kama zote yaani
Yes hata mimi ushauri wangu mechi ya franch na ubelgiji weka (both to score) japo mm kidg ningekuwa mimi ningekuwa na mashaka nay ila uhakika ni over 1.5 yaan baada ya mechi juma ya magol yatakuwa ni kuanzia 2 au weka 2.5 over ila mechi ya coratia na uingereza ndugu angu haitabiriki ww weka 1.5 ndio ya uhakika

N.b nakushauri mechi zote hizo mbil weka over 1.5 japo zina ODDS ndog ila nd uhakika
 
siliwi kiboya hvo..hela bora nikattombee
 
Inatakiwa mahesabu Makalu sana,beti note note kupunguza hasara,mwenye odd kubwa unaweka pesa kidogo ili kubalance,
Kumbuka ukiona odd ndogo,maana take hiyo time ndo in a probability kubwa ya kushinda,kwa hiyo unaweza kujitoa ufahamu na kuweka pesa ndefu ili ikiitika basis uvune pesa za kutosha,odd nzuri ni zinazoanzia na 2.
Elungata Nifundishe kubet
 
Back
Top Bottom