Ngatu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 263
- 185
ndio njoo uone maajabu ya soccerHA HAaa,, hv correct score kuna watu wanakulaga kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio njoo uone maajabu ya soccerHA HAaa,, hv correct score kuna watu wanakulaga kweli??
Nadhani wewe umeshakuwa milionea kupitia betting!!ndio njoo uone maajabu ya soccer
Habari wakuu?
Kama mada inavyojieleza nimeshaandaa sh laki moja kwa ajili ya kubetia kuanzia mwezi wa nane ligi kuu za nchi mbali mbali zitakapo anza kama epl,laliga,bundas n.k kwan msimu uliopita nlikuwa na weka dau kidgo kidg kama jero,buku nikijitahidi nilikuwa naweka buku mbili.
Ila safari hii dau langu nmepanga kuweka kuanzia buku 10 na kuendelea.
Ila kabla ya kutekeleza hili nimeona bora niwashirikishe labda mnaweza kunishauri na kunipa wazo na hata mikakati zaidi.
Karibuni.
Wabillah TaufiqCha madrasa labdaa!!??
Wk hii Man u na Real Madrid wamechana mkeka wangu hmkuu mm nimeliwa sana mkuu nadhani inaweza fika 400k, na pesa niliyomla haiwezi fika hata 150k. kubet kumenitoka moyoni kbx naona kawaida siyo kama zamani arosto
0786985110 ncheki mkuu mm mfuasi mwenzioNimeamua betting iwe kazi na biashara yangu ya kila siku
DipresheniMie hata hela ya mboga sina halafu watu mnabetia laki[emoji134][emoji134][emoji134]
Kweli life is not fair.
Good conclusion 😂Mrejesho! Baada ya miaka sita kupita nikiwa nafanya hii kazi nasema kwa sauti na kwa herufi kubwa kuwa "HAKUNA KAZI NGUMU KAMA KUBETI." Naweka kituo.
Mkuu usiombe kabsa kuna siku nimeweka timu mbili kila moja ana odds 1.17 na nyingne ni 1.13 huwezi amini huu mkeka ulichanikaGood conclusion 😂
Dipresheni ina dipresheni😭😭Dipresheni
Nawewe unabeti?Dipresheni ina dipresheni😭😭