Nimeandaa tsh 100,000/= kwa ajili ya kubet

Nimeandaa tsh 100,000/= kwa ajili ya kubet

Habari wakuu?
Kama mada inavyojieleza nimeshaandaa sh laki moja kwa ajili ya kubetia kuanzia mwezi wa nane ligi kuu za nchi mbali mbali zitakapo anza kama epl,laliga,bundas n.k kwan msimu uliopita nlikuwa na weka dau kidgo kidg kama jero,buku nikijitahidi nilikuwa naweka buku mbili.

Ila safari hii dau langu nmepanga kuweka kuanzia buku 10 na kuendelea.

Ila kabla ya kutekeleza hili nimeona bora niwashirikishe labda mnaweza kunishauri na kunipa wazo na hata mikakati zaidi.

Karibuni.

Mkuu, usijichanganye, hifadhi pesa zako kwa matumizi mengine muhimu.

Lakini kama ni kijana, utafanya tu na utajifunza kutokana na makosa yako mwenyewe. Jeuri ya ujana.
 
mkuu mm nimeliwa sana mkuu nadhani inaweza fika 400k, na pesa niliyomla haiwezi fika hata 150k. kubet kumenitoka moyoni kbx naona kawaida siyo kama zamani arosto
Wk hii Man u na Real Madrid wamechana mkeka wangu h
Zaidi ya 5m nilikopa nmb nijenge banda la kuku
 
kwenye hiyo laki usibet zaidi ya elfu 5 kwa mkekd mmoja. weka timu chache baada ya mwezi angalia umepata faida au hasara. kama umepata hasara badilisha mbinu badala ya kucheza normal cheza magoli au kona. na siku ukiona mechi za kizushi usibet. nakuhakikishia baada ya miezi 6 una laki tano
 
Weka Liverpool anashinda upate 191,000/= baada ya dakika 90+5'
 
jamaa mwenye group la whatsApp wanakoshea mikeka tafadhali naomba aniungee 0762526603
 
Mhindi anatamani afute hii mada ili mleta mada asiulizwe mrejesho maana anajua alichokifanya.
 
Back
Top Bottom