Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasaalam wana jf doctor
leo nimeenda hospital kwa matatizo yangu ya tumbo na doctor amenitaka kufanya kipimo cha colonoscopy,jamani naombeni ushauri wenu maana naogopa sana .
samahani nimekosea heading ilitakiwa iwe colonoscopy
Oh sawa aiseeni kipimo cha kumwilika utmbo mpana (Colon)
upande wa kushoto wa tumbo kwa chini panauma more often nikiwa nimekosa choo ,au kukaa na choo muda mrefu mkuu
naogopa sana mkuu
Likewise ni kuangalia utumbo mkubwa.hii niliyoandikiwa kufanya ni colonoscopy sio endoscopy mkuu
Nooo ,kutokana na side effects wanazozielezea
hii niliyoandikiwa kufanya ni colonoscopy sio endoscopy mkuu
Camera inaingia kwenye tigo yako hakuna madharahii niliyoandikiwa kufanya ni colonoscopy sio endoscopy mkuu
Anaongea nusu nusu anaogopa..hataki kusikia neno saratani..pole mungu amsaidie!sid
side effets gani hizo umezipata kuzisikia mbona unaongea vitu nusu nusu?
wanasema sometimes hupelekea bleeding ambayo huhitaji kuja kufanyiwa operation