Nimeandikiwa kipimo cha endoscopy

Nimeandikiwa kipimo cha endoscopy

wasaalam wana jf doctor
leo nimeenda hospital kwa matatizo yangu ya tumbo na doctor amenitaka kufanya kipimo cha colonoscopy,jamani naombeni ushauri wenu maana naogopa sana .
samahani nimekosea heading ilitakiwa iwe colonoscopy

choo chako kina damu?
kuumwa tumbo tu ndo uandikiwe colonoscopy?
 
choo chako kina damu?
kuumwa tumbo tu ndo uandikiwe colonoscopy?
upande wa kushoto wa tumbo kwa chini panauma more often nikiwa nimekosa choo ,au kukaa na choo muda mrefu mkuu
naogopa sana mkuu
 
Ni x-ray inayoingia mpaka kwenye tumbo. Endoscopy imesaidia kuokoa maisha ya wengi hasa dalili za cancer ya tumbo katika hatua za mwanzo
 
Ni x-ray inayoingia mpaka kwenye tumbo. Endoscopy imesaidia kutokea maisha ya wengi hasa dalili za cancer ya tumbo katika hatua za mwanzo
hii niliyoandikiwa kufanya ni colonoscopy sio endoscopy mkuu
 
wanasema sometimes hupelekea bleeding ambayo huhitaji kuja kufanyiwa operation

siku hizi zinatumika flexible endoscopy (zinajikunja) hizo side effects ni unlikely.
Nimeona wagonjwa zaidi 40 wakifanyiwa Endoscopy either kwa kupitia mdomoni na sehemu ya ajabu kubwa sijawai outcome ikiwa na bleeding unazozisema.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom