Nimeandikiwa rufaa Muhimbili hospitali ya mtoto wa miaka miwili na nusu

Pole sana ndugu, umenifanya nifikirie tofauti...

Mimi mtoto wangu mdogo ni mtundu sana, ana mwaka na nusu amekuwa akinikera ile kuhamisha vitu, yaani kila kitu anachoweza kubeba anachukua ana peleka kusiko mahala pake, halafu sasa hachoki eti apumzike.

Yaani bandiko lako limenifanya nione kila anachofanya huyu mtoto ni sawa tu,
 
Pole sana Kwa changamoto hii. Ukifika pale mhimbili emergency watakuelekeza vizuri bila Shaka yoyote ondoa wasiwasi.
 
pole sana mkuu, Mungu akufanyie wepesi apone haraka
 
Asante sana mkuu
 
Pole mkuu, vipi kichwa kimekaza lakini na macho vipi yako na ushirikiano na vipi kuhusu kufanya fujo kitandani anafanya.
 
hiyo barua Yao ya rufaa lazima itakuwa imeandikwa idara

uko mkoa gani ...na lini safari utaanza
 
yah, hiyo ni cerebral palsy, sasa anahitaji zaidi physiotherapy
 
 
Aisee,kwa Nini usimjibu swali kadri alivyouliza?! Haya mengine ...kama yapo ataelezwa na Wataalam wanaomhudumia ! Tusimchqnganye.
 
Pole sana mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…