Nimeandikiwa rufaa Muhimbili hospitali ya mtoto wa miaka miwili na nusu

Pole sana huko barabara zimefungwa
 
Inaumiza mno mtoto akiwa kwenye hali hiyo
Mungu ampe nguvu na hekima ya juu mtoamada
Kabisa.
Wazazi tunaumia sana kuona matarajio yetu yanaenda sivyo.
Mungu amsaidie tu kwa kweli.
 
Pole sana mkuu, I can feel the pain
 
pole sana kwa kuuguza, pamoja na rufaa kwenda muhimbili naomba ukipata muda unaweza fika regency medical centre mtafute dakta raheem in sha allah anaweza kukusaidia pakubwa tatizo la kijana wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…