Nimeangalia debate ya Trump na Kamala. Hizi ndio takeaways nilizoambulia

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
TRUMP:
Anamshutumu Kamala kwa mfumuko wa bei uliopanda maradufu.

Anamshutumu Kamala kwa makosa waliofanya kupelekea vifo na uachaji wa silaha za vita kipindi wanaondosha jeshi Afghanistan.

Anamshutumu Kamala kwa sera mbovu ya uhamiaji na kutodhibiti mipaka kupelekea kuingia kwa wahamiaji wengi sana waliosababisha baadhi ya uharifu nchini Marekani.

Anamshutumu Kamala kuwa lack of competitiness yao ndio imepelekea kutokea kwa vita vya Russia dhidi ya Ukraine, Mgogoro wa vita kati ya Israel na Hamas.

Anamshutumu Kamala kuruhusu sana wa-China kuleta bidhaa na viwanda vyao Marekani kupelekea viwanda vya nchini kuwa affected angali wa-Marekani wanabanwa kufanya shughuli za viwanda huko China.

Anamshutumu Kamala kwa kuzuia Fracking.

Anamshutumu Kamala kuwa mkomonisti.

KAMALA:
Anamshutumu Trump kwa kutokuwa mungwana kutokana na historia ya kesi mahakamani, ubaguzi na udhalilishaji.

Anamshutumu Trump kwa kutaka kuwabana wanawake ilo wasipate haki ya kufanya abortion.

Anamshutumu Trump kwa uchumi mmbovu aliowaachia term yake na Biden.

Anamshutumu Trump kwa kusababisha na kichochea fujo zilizopelekea uharibifu katika jengo la Capitol.

Anamshutumu Trump kwa kuwa na urafiki uliopitiliza na wenye mashaka viongozi wa mataifa pinzani na adui.

Anamshutumu Trump kwa kuwa na sera za kulinda tu matajiri.

Anamshutumu kwa kuzuia wabunge wa chama chake wasi support plan yake mpya ya kudhibiti mipaka.

SERA ZA TRUMP:
Kuthibiti mipaka kuzuia uhamiaji holela.

Kufanya mass deportation ya wahamiaji haramu.

Kuzuia abortion za kiholela na kuruhusu ifanywe mapema mimba ikiwepo bado ni changa.

Kustopisha vita vya Russia dhidi ya Ukraine.

Kustopisha mgogoro kati ya Israel na Palestine.

Kupunguza mfumuko wa bei.

SERA ZA KAMALA:
Kuongoza wanawake wafanye abortion wanavyotaka kwa maana ni haki yao maana mwili ni wao.

Kujenga opportunity economy.

Kuimalisha biashara ndogo ndogo.

Kuongeza kodi kwa matajiri.

Soma pia: Marekani: Trump na Kamala watofautiana kuhusu Mdahalo

Ni mengi nimezungumza ila ni haya ninayoyakumbuka kwa sasa
 
Kamala na Trump ni coin moja yenye pande mbili. Wote wanawakisha mfumo ulele wa Wall Street Big Banks, Multinational Corporations na Fed Reserve,. ambao mwisho wa siku yoyote anayechaguliwa wao ndiyo wanakuwa wanaamua sera zote za kiuchumi, kijeshi na mambo ya nje.

Hakuna kitakacho badilika sana akichaguliwa Trump au Kamala zaidi rhetorics tu za hapa na pale.

Ilipofikia USA kuleta mageuzi ya kweli lazima upingane na wakubwa wa Fed Reserve na Wall Street kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa.
 
Kwa haraka haraka sera za kamala ni too general, hazina tofauti na za nchi zinazo endelea.

Lakini pia sera za Trump ni ngumu na zinazohitaji mikakati mikubwa.
 
TRUMP:
Anamshutumu Kamala kwa mfumuko wa bei uliopanda maradufu.

Anamshutumu Kamala kwa makosa waliofanya kupelekea vifo na uachaji wa silaha za vita kipindi wanaondosha jeshi Afghanistan.

Anamshutumu Kamala kwa sera mbovu ya uhamiaji na kutodhibiti mipaka kupelekea kuingia kwa wahamiaji wengi sana waliosababisha baadhi ya uharifu nchini Marekani.

Anamshutumu Kamala kuwa lack of competitiness yao ndio imepelekea kutokea kwa vita vya Russia dhidi ya Ukraine, Mgogoro wa vita kati ya Israel na Hamas.

Anamshutumu Kamala kuruhusu sana wa-China kuleta bidhaa na viwanda vyao Marekani kupelekea viwanda vya nchini kuwa affected angali wa-Marekani wanabanwa kufanya shughuli za viwanda huko China.

Anamshutumu Kamala kwa kuzuia Fracking.

Anamshutumu Kamala kuwa mkomonisti.

KAMALA:
Anamshutumu Trump kwa kutokuwa mungwana kutokana na historia ya kesi mahakamani, ubaguzi na udhalilishaji.

Anamshutumu Trump kwa kutaka kuwabana wanawake ilo wasipate haki ya kufanya abortion.

Anamshutumu Trump kwa uchumi mmbovu aliowaachia term yake na Biden.

Anamshutumu Trump kwa kusababisha na kichochea fujo zilizopelekea uharibifu katika jengo la Capitol.

Anamshutumu Trump kwa kuwa na urafiki uliopitiliza na wenye mashaka viongozi wa mataifa pinzani na adui.

Anamshutumu Trump kwa kuwa na sera za kulinda tu matajiri.

Anamshutumu kwa kuzuia wabunge wa chama chake wasi support plan yake mpya ya kudhibiti mipaka.

SERA ZA TRUMP:
Kuthibiti mipaka kuzuia uhamiaji holela.

Kufanya mass deportation ya wahamiaji haramu.

Kuzuia abortion za kiholela na kuruhusu ifanywe mapema mimba ikiwepo bado ni changa.

Kustopisha vita vya Russia dhidi ya Ukraine.

Kustopisha mgogoro kati ya Israel na Palestine.

Kupunguza mfumuko wa bei.

SERA ZA KAMALA:
Kuongoza wanawake wafanye abortion wanavyotaka kwa maana ni haki yao maana mwili ni wao.

Kujenga opportunity economy.

Kuimalisha biashara ndogo ndogo.

Kuongeza kodi kwa matajiri.

Soma pia: Marekani: Trump na Kamala watofautiana kuhusu Mdahalo

Ni mengi nimezungumza ila ni haya ninayoyakumbuka kwa sasa
Watalaanika wote kama sisi Tanganyika kwa kumruhusu mwanamke awe mtawala wao..
 
Ipo kwa kila raia asiye na ajira, wanaita ‘Unemployement benefit’ kila mwezi, ni kama laki 4 hivi..
 
Back
Top Bottom