Nimeangalia debate ya Trump na Kamala. Hizi ndio takeaways nilizoambulia

Nimeangalia debate ya Trump na Kamala. Hizi ndio takeaways nilizoambulia

Unatumia vigezo gani kudai Trump anamkubali Putin
Kampeni zake nyingi amedai kuwa vitendo vya Biden kuidhinisha pesa kwaajili ya kuisaidia Ukraine nisawa na marekani kuchochea vita, sera yake hiyo ndio inatufanya tuamimi kuwa ana uswahiba na putin
 
Atamaliza kwa.kuhakikisha ,huo msikiti wa alaqsa, ni ama unabomolewa au waisrael wanaruhusiwa Rasimi kuabudi hapo.

Ikumbukwe, Trump ni anaamin Israel ni Taifa Teule la Mungu.

Ndiocmaana aliaamisha Balozi za Marekan kuzileta Magharibi ya Jerusalemi
Alqsa haitabomolewa na Trump, itabomolewa kwenye utawala wa mpinga kristo ambao uko karibu mno. Utakuwa utawala mwingine sio huu
 
Alqsa haitabomolewa na Trump, itabomolewa kwenye utawala wa mpinga kristo ambao uko karibu mno. Utakuwa utawala mwingine sio huu
Wayahudi wanaamini bado Wanamngoja masihi wao, sio Yesu.

Na wao katika kuyatafasiri maandiko wanaamini ili Masihi wao aje ni lazima KUJENGWA UPYA KWA HEKALU , ambalo Mara ya mwisho lilivunjwa na RUMI.

Wakati huohuo, Mpinga Kristo ( RC) naye anataka kupitia kwenye hilohilo ombwe , Kujenga HEKALU hapohapo ambalo utawala wake utakua chini ya ROMAN ya Sasa.

Hapa ndo utaelewa kwanini TRUMP anachukiwa sana na VIONGOZI WA RC.
 
Trump anakubalika kwa sera moja tu...kutimua wagen na kuwazuia wasiingie uko wanaziba rizki tu
 
Trump anakubalika kwa sera moja tu...kutimua wagen na kuwazuia wasiingie uko wanaziba rizki tu
Na mimi napenda hili litekelezwe na huku Tz...wachina / wahindi n.k timua wakabanane kwao uko...
 
Back
Top Bottom