Nimeangukia kwa single Mother

Hakuna singo maza atakuambia ameachana na aliyezaa nae juzi au jana au wiki au mwezi, atakuambia alizalishwa wakaachana mtoto akiwa na miez au mwaka... Hakuna singo maza atakuambia bado ana mawasiliano na baba mtoto... Hakuna singo maza ataonyesha madhaifu yake yaliyomfanya aachwe atayaficha ili umuamini she's perfect alionewa tu kuachwa...

The only thing you can do Mzalishe kama alivyo mzalisha mwanaume mwenzako then muache kama alivyo achwa...

KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI...
 
Maelezo hayo ni ya binti nnaemfahamu [emoji848], Anyways pengine ni taarifa zinazofanana tu
 
Aisee
 
Mbona mnanitisha sasa badala ya kunipa moyo kaka zangu
 
Si ndio kizazi cha wanawake wasiojielewa ndio kilianza kutamalaki.
 
Anaitwa nani
Kwa namna nlivyomfahamu na mazingira yaliyofanya nkamfahamu nna uhakika jina aliongopa....( Catherine )

Madai yake alikua anaishi Ilala bungoni

Ni mrefu kiasi hivi, sio mnene wala mwembamba sana...Ana mtoto na baba yake alidai anaishi Mombasa na hata yeye huwa anaenda na kurudi...Ana lafudhi ya watu wa Kenya japo sio rafudhi ile iliyozidii
 
Dah maelezo ndio hayo kasoro jina huyu ni muislam ana lafudhi ya kimombasa
 
Hata akikuonyesha kaburi la alie mzalisha inabidi uende mahakamani ukaombe kibali cha kufukua kaburi ili ujiridhishe Kama ni kweli alikufa vinginevyo ukweli mchungu ila inabidi tukueleze umeteketea bro
 
Vijana wa siku hizi ndoa hazifiki mbali kwa sababu hamtaki kabisa kushirikisha wala kuwajua wazazi bali utasikia tu tumependana

Hivi mkiwa wadogo huwa mnafundishwa nini na wazazi? Au mnazaliwa wengi nje ya ndoa?

Wengi mnaojuana hamuwajua wazazi wa upande wa pili na wala hamtaki kujua kabisa, sasa hizo Baraka za ndoa huwa mnazipata wapi?
Kwa washikaji na humu JF ama?

Poleni sana ndio maana wakataa ndoa wako kibao kwa sasa mnaokotana njiani tu
 
Sasa kama umeshaamua kuoa humu JF umeleta kuomba ushauri au kuturingishia huyo mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…