Nimeangukia kwa single Mother

''KATAA NDOA UISHI KWA UIMARIKE KIUCHUMI'' nimeipenda hii kauli
 
Mbona mnanitisha sasa badala ya kunipa moyo kaka zangu
Wewe hujifunzi tu,hivi unadhani atakupenda kuliko huyo mtoto,au anakuambia hivyo ajihakikishie usalama wa aibu yake....au hukusoma uzi wa yule jamaa aliomba mwarabu single mama kwa mtindo huu wa kwako yakaja,kumkuta makubwa baadae
 
Wewe unaoa mwanamke na vitu vinavyojenga ndoa Ni
UPENDO,heshima,uvumilivu,nk.
Kama Ana vigezo wewe OA.Unaweza kupata mtu asiye na mtoto na AKAWA pasua kichwa
 
Single maza ni kumzalisha tena afu unajiweka kando, kumuoa ni hasara kubwa.

Usipomfanyia kitu atadai Baba fulani alikuwa hivi na vile
 
Singo maza ni salufyuriki acid...kuoa hao ni sawa na kuchukua utajiri wa punje...mapenz yamekupofusha had akili,anyway all the best ktk safar ya golgota
 
Oa mkuu uwe case study
 
Mi naona ingekuwa heri ungeandika haya wakati ushamwoa....ila hili laweza kukufanya usitimize malengo.
Ngoja waje wasagia kunguni
Aoe aje atuletee mrejesho. Pengine wa Mombasa wana tofauti na wa bongo
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu. Single mother akiachwa huwa anajifunza na kutokifanya kiluchomfanya aachwe hadi pale atakapo ingia ndani ndio vumbi linatimka
 
Mbona mnanitisha sasa badala ya kunipa moyo kaka zangu
Mkuu watu hawakutishi wanakuambia ukweli ulio mchungu. Usipende kuambiwa vitu vya kufurahisha moyo tu jifunze kusikiliza na ukweli mchungu. Umeleta uzi mkuu ili ushauriwe watu ndio wanakushauri ila maamuzi ni yako mkuu.

Single mother wengi ni shida mkuu. Satu wanaongea from their experiences. Single mother ni waigizaji kuliko hata maigizo yenyewe
 
Kijana ishi unavyotaka usiishi kwa mitazamo ya watu.
Mse** namba 1 ni mtu asiye na misimamo yake. Hata sheria ziliundwa na watu, nawe kuwa na rules zako.
Si kila kitu cha kuanzishia uzi humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…