Nimeangukia kwa single Mother

Nimeangukia kwa single Mother

Singo maza ni salufyuriki acid...kuoa hao ni sawa na kuchukua utajiri wa punje...mapenz yamekupofusha had akili,anyway all the best ktk safar ya golgota
Unaogopaje single mother? Wanaume tulio kamilika hatuogopi wanawake akizingua unapiga chini unachukua chombo ingine basi
 
Ndugu zangu,

Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.

Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana miaka 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.

Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.

NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
Haupo serious! Miezi miwili ulikuwa unatafuta sasa umezoea! Hata hiyo K umeila siku ngapi?

Ona mwenyewe

Mnapata wapi wapenzi?

Salaaam vijana wenzangu. Naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja? Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya...
 
Una Kazi sana.. siku akienda likizo mombasa utaenda naye
Ndugu zangu,

Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.

Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana miaka 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.

Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.

NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
 
Ndugu zangu,

Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona kabisa ana vigezo vyote vya kuitwa mke.

Huyu binti ni mzuri wa sura mpka shepu anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu na ananionesha mapenzi ya dhati kabisa na kuniheshimu ila shida ni kuwa tayari ana mtoto, kizuri pia kwa first day namtongoza hakunificha aliniambia kabisa ana mtoto ila baba ake walishaachana wakati mtoto ana miezi 3, huyu dogo sasa hivi ana miaka 6 yupo kwa bibi yake na huyo baba yake yupo Kenya.

Kwa mapenzi anayonipa nafikiria kubadili mtazamo wangu wa kutooa single maza mi naoa huyu huyu maana hawa wengine shida tupu. Kuhusu kusomesha na huduma za mtoto hilo nimemwambia sio jukumu langu labda nisaidie tu baadhi ya mambo madogomadogo tu.

NB: Huyu dada sio Mtanzania ni Mkenya wa Mombasa.
hongera sana umepata mali

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Unaogopaje single mother? Wanaume tulio kamilika hatuogopi wanawake akizingua unapiga chini unachukua chombo ingine basi
sio kwamba naogopa,ila mpaka ufikie hatua ya kupga chini,hakika unakua hoi bin taabani....kinga ni bora kuliko tiba
 
Hakuna singo maza atakuambia ameachana na aliyezaa nae juzi au jana au wiki au mwezi, atakuambia alizalishwa wakaachana mtoto akiwa na miez au mwaka... Hakuna singo maza atakuambia bado ana mawasiliano na baba mtoto... Hakuna singo maza ataonyesha madhaifu yake yaliyomfanya aachwe atayaficha ili umuamini she's perfect alionewa tu kuachwa...
The only thing you can do Mzalishe kama alivyo mzalisha mwanaume mwenzako then muache kama alivyo achwa...
KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI...
Aseee,asalamaleko!
 
sio kwamba naogopa,ila mpaka ufikie hatua ya kupga chini,hakika unakua hoi bin taabani....kinga ni bora kuliko tiba
Tuko tofauti sana mimi inshu kama hizi hazinisumbui kabisa ili mradi niwe nimepata data zangu za kutosha/ I mean taarifa za kujiridhisha basi, yaani kwanza hiyo misukosuko nitakayo mpatia anaweza kuondoka tu mwenyewe kabla hata sijamfukuza .....na kuna mmoja nilisha mpiga chini hakuamini mpk leo
 
Muhimu heshima na mapenz ya kweli unaeza oa asiezaa ila akawa ni tabu tupu. Pia angalia sababu za kuachana na huyo mtu wake
Sababu kubwa ya kuachana kwao ni baada ya mkenya kumnyima ukuni mkewe, aliporudi akiwa chakali
 
Huyu ana kazi zake sio njaa njaa
Tatizo kwa single mother sio njaa. Tatizo ni pale anapokutana na mzazi mwenzie unachapiwa mchana kweupe. Halafu bora ungekubali kumsomesha huyo mtoto kuliko kuacha asomeshwe na baba yake maana watakuwa wanawasiliana na mkeo halafu wakienda visiting day wanapashamo kiporo
 
anafanya kazi zake mwenyewe sio ombaomba kama hao wenu.

Nimezoea wanawake kuangalia mseleleko kumbe Hadi this side
 
Hebu tuacheni ubaguzi usiokuwa na maana tatizo watu wanaishi maisha ya kukariri na kugeneralize vitu..hivi kwa hiyo ukioa demu asiyezalishwa ndio utakuwa na assurance kwamba hatokucheat? Sio kweli hata hao wasiozalishwa wanaweza kucheat na old school wao...na sio singo maza wote huwa wanacheat na old school wao...mama umempenda oa ..angalia moyo unasema Nini ...then hapa jf panatengeneza psychological problem kwa single maza kwamba wao hawafai kuolewa .kwamba ni wabaya so kweli.. tuacheni upotoshaji na binadamu Kuna point kwenye maisha yao walikosea lakin haimanishi wao ni subjective na lazima warudiane na maex wao..na wazazi wenzao wengine wamechukiana na wameachiana majeraha ya moyo....so they have a chance to be remarried...stop nude propaganda against single moms...
 
Tuko tofauti sana mimi inshu kama hizi hazinisumbui kabisa ili mradi niwe nimepata data zangu za kutosha/ I mean taarifa za kujiridhisha basi, yaani kwanza hiyo misukosuko nitakayo mpatia anaweza kuondoka tu mwenyewe kabla hata sijamfukuza .....na kuna mmoja nilisha mpiga chini hakuamini mpk leo
dah!hawa raia ni changamoto kiukwel,na wamekuwa weng haswa kias kwamba ni UNIKWEPABO...
 
Oa mwaego wanakuonea wivu tu, hakunaga formula ya maisha, walioa wasio masingle mom na wanalea watoto wasio wao maana wake zao full kuchepuka, my dear kama anakupenda, anakujali, anakuheshimu ....
......dadako nakishauri oa huyo mwanamke
 
Back
Top Bottom