Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

Nimefanya kazi FINCA..... najua mziki wa mikopo.......... kwa mfano una wateja 100, utaweza kuchukua vitu vyao wote?........labda kama unatoa mikopo mikubwa uchukue kadi ya gari au hati ya nyumba.....sasa mkopo wa laki 2 utachukua nini mkuu?
Tupe uzoefu wako huko FINCA mkuu. Natafuta connection niwe nanunua mali za wadaiwa kwa bei za hasara
 
Idea nzuri Sana! sasa dhamana inaweza kuwa kitu gani kwa unaemkopesha?
 
Idea nzuri Sana! sasa dhamana inaweza kuwa kitu gani kwa unaemkopesha?
Dhamana lazima ufikirie wewe mwenyewe kitu chenye thamani mara 2 au zaidi ya pesa uliyokopesha.

watu wanaweka bondi tv, simu za smart kwa mikopo ya laki 1.

wengine wanaweka hadi pikipiki. Jitahidi tu kuwa mtaalamu wa kuthaminisha vitu kulingana na mkopo+riba!!
 
kwa laki 2 mfumo wangu utakupa riba ya 160,000 kwa mwezi.

are you okay with that?
Watu mna riba kweli kweli. Mimi nakopesha Kwa riba ya 10% tu Kwa mwezi. Hapo mwisho wa mwez angenipa 220,000 tu
 
Reactions: amu
Watu mna riba kweli kweli. Mimi nakopesha Kwa riba ya 10% tu Kwa mwezi. Hapo mwisho wa mwez angenipa 220,000 tu
Mi kusubiri mwisho wa mwezi naona nachelewa sana kufika uchumi wa kati😅😅😅

Nikikupa hela jumapili niletee hela na riba au riba pekee jumapili inayofuata.

7 Days principle with 20% Interest
 
Mi kusubiri mwisho wa mwezi naona nachelewa sana kufika uchumi wa kati😅😅😅

Nikikupa hela jumapili niletee hela na riba au riba pekee jumapili inayofuata.

7 Days principle with 20% Interest
Ni mjin au kijijin?
 
Pesa unazozipata wekeza huko huko kwenye udalali, nunu viwanja/nyumba ukiona kina offer nzuri.. then uza kwa faida..
Fanya uwekezaji wa muda mrefu
 
Nimefanya kazi FINCA..... najua mziki wa mikopo.......... kwa mfano una wateja 100, utaweza kuchukua vitu vyao wote?........labda kama unatoa mikopo mikubwa uchukue kadi ya gari au hati ya nyumba.....sasa mkopo wa laki 2 utachukua nini mkuu?
Mke wake🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…