Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Tupe uzoefu wako huko FINCA mkuu. Natafuta connection niwe nanunua mali za wadaiwa kwa bei za hasaraNimefanya kazi FINCA..... najua mziki wa mikopo.......... kwa mfano una wateja 100, utaweza kuchukua vitu vyao wote?........labda kama unatoa mikopo mikubwa uchukue kadi ya gari au hati ya nyumba.....sasa mkopo wa laki 2 utachukua nini mkuu?