Katika chimba-chimba yangu ya kulielewa hili bara na kwanini tupo hivi (ukiondoa lawama za "mkoloni" ambazo hazina mashiko kwa Karne hii) nimekuja kugundua ikija katika masuala ya IQ ya umma wetu aisee inahitaji nguvu ya ziada kuipandisha
Hadi Sasa nimetambua Kuna classification tatu za binadamu; Kuna Caucasoids (wazungu), Mongoloids (watu wa Asia mf. Wachina wahindi n.k), kisha Negroids (Waafrika); ikija katika utafiti uliofanyika juu ya wastani wa IQ katika umma hizi tatu kilichoonekana ni kama ifuatavyo:
- Mongoloids (Wastani wa IQ ni 110 - 120)
- Caucasoids (Wastani wa IQ ni 100)
- Negroids (Wastani wa IQ ni 85)
IKUMBUKWE hapa kinachoongelewa ni WASTANI hivyo sio Kila Mwafrika ana IQ ya 85 na sio Kila Mchina na Mzungu anafika hiyo 100 au anazidi; ni Imani yangu kwamba wastani huu mdogo tulionao unapelekea watu wengi wanaoingia katika utumishi wa Umma na nyadhifa nyingine kubwa za kuliongoza hili bara kuwa na IQ ndogo na ushahidi wa hili janga ni kuwa kitamaduni katika bara letu anayefika juu na kupewa nafasi sio kwamba ni Bora au "ana kitu kichwani" bali ana mjua nani na ana nini;
Hivyo sitashangaa Sana kama uhalisia ni kuwa Waafrika wengi wenye IQ kubwa wanaozea kwenye nafasi ambazo ni za kawaida kabisa na wale wenye nafasi ya kung'aa sana huchukuliwa na nchi zinazothamini IQ zao (brain drain)