Nimeanza kuamini ulegelege wetu Waafrika kama Bara katika maendeleo unatokana na wastani wa IQ ya umma (population) kuwa chini Sana

Nimeanza kuamini ulegelege wetu Waafrika kama Bara katika maendeleo unatokana na wastani wa IQ ya umma (population) kuwa chini Sana

Mi sijawahi kuwa na huo msemo, nnachojua tu baada ya kunyonya nlianza kupewa ugali mwepesi unaoitwa uji nawekewa mdomoni nabanwa pua ili nimeze, imagine!!!! baada ya hapo nikaanza kulishwa ugali mgumu......

Ugali hapana aseee umeondoka na akili zangu
Ilikuwa kakorofi ndio maana wamekubana pua🤣🤣🤣
 
You forget an essential historical fact. Most African nations are a patchwork of tribes created by colonial powers for colonial enterprises. Simply put, for the last 500 years the relationship between Europe and Africa has not changed. We are still tributaries and vassal states, who keep the European economies afloat.​
It's as if the entirely of Africa hallucinated it's independence 🤣
 
Malezi braza, tunakosea hapo tu.

Mtoto anakua akiwa na mawazo ya baba/mama sio yake. Mpaka anazeeka ana mawazo ya baba/mama.

Tuache watoto wawe wao na sisi wazazi kuwasikamia kwa yale wanayoyaamini
Hapana, mbona Asia huko kwa asiliamia kubwa ni suala la msingi sana kuishi ndani ya ndoto za wazazi tangu utotoni
 
What makes you think that your thoughts are independent, distinct from those of the collective called, The Society ?​
The inefficient that comes with the process, I'm a product of society and it's machinations and I must function within it; I'm also aware that I'm afforded a degree of autonomy of how I choose to function/contribute within it; the ants on the other hand are much more efficient, there's no autonomy, there isn't even an illusion of free-will, the role of each ant is predetermined
 
Yes it is, you just never know. You just take a permanent peaceful rest eating fruits in heaven with Jesus and walking on gold plated roads and pavements with countless angels giving you standing ovations and singing beautiful songs maamaee.

JESUS AND ISRAEL FOREVER
u-thed wold haujakutoka panya wewe.
 
Katika chimba-chimba yangu ya kulielewa hili bara na kwanini tupo hivi (ukiondoa lawama za "mkoloni" ambazo hazina mashiko kwa Karne hii) nimekuja kugundua ikija katika masuala ya IQ ya umma wetu aisee inahitaji nguvu ya ziada kuipandisha

Hadi Sasa nimetambua Kuna classification tatu za binadamu; Kuna Caucasoids (wazungu), Mongoloids (watu wa Asia mf. Wachina wahindi n.k), kisha Negroids (Waafrika); ikija katika utafiti uliofanyika juu ya wastani wa IQ katika umma hizi tatu kilichoonekana ni kama ifuatavyo:

  1. Mongoloids (Wastani wa IQ ni 110 - 120)
  2. Caucasoids (Wastani wa IQ ni 100)
  3. Negroids (Wastani wa IQ ni 85)
IKUMBUKWE hapa kinachoongelewa ni WASTANI hivyo sio Kila Mwafrika ana IQ ya 85 na sio Kila Mchina na Mzungu anafika hiyo 100 au anazidi; ni Imani yangu kwamba wastani huu mdogo tulionao unapelekea watu wengi wanaoingia katika utumishi wa Umma na nyadhifa nyingine kubwa za kuliongoza hili bara kuwa na IQ ndogo na ushahidi wa hili janga ni kuwa kitamaduni katika bara letu anayefika juu na kupewa nafasi sio kwamba ni Bora au "ana kitu kichwani" bali ana mjua nani na ana nini;

Hivyo sitashangaa Sana kama uhalisia ni kuwa Waafrika wengi wenye IQ kubwa wanaozea kwenye nafasi ambazo ni za kawaida kabisa na wale wenye nafasi ya kung'aa sana huchukuliwa na nchi zinazothamini IQ zao (brain drain)
Umesahau na dini maana nazo kwa kiasi kikubwa zimechangia kutufanya kuwa wajinga mpaka leo hii.
 
Back
Top Bottom