Nimeanza kulewa kwasababu nimemchoka mume wangu tangu alipofilisika

@Sexless mkuu watu wanauliza huku kuna thread umeandika una mke na ghafla leo unaonekana una Mume, sasa wanahitaji kujua kama wewe ni mwanaume halafu umeolewa ina maana mume wako anachakata hiyo tunu yako ya taifa hapo nyuma, wadau wanauliza ili hiyo tunu uwapatie waanze mchakato wa kuicharanga, njoo uwajibu mkuu
 
Sasa siudai Talaka issue iko wapi na ukiidai Haki zako za msingi ushapoteza.

Na ukimuacha mawili yatajiyokeza Aidha atazidi ufukara au atarudi katika Hali yake imara zaidi Hapo ndo utapojua Mungu anaposema yupo pamoja na wenye kuvuta subra anamaanisha nini.
 
Kwa nini unahuzunisha moyo wako na kuhatarisha maisha yako kwa Kunywa pombe na unajua ulichofuata ni pesa na zimeisha? Wanaume sio ving'ang'anizi, unajipotezea muda na bahati zako bure, jipe wiki moja kuhamisha kilicho chako, Na muage akae kwa Amani unaenda kuanzisha maisha yako sehemu nyingine. Usijifunge kama mtumwa kuwa muwazi na mkweli wa nafsi yako.
 
Asije akamletea kifo Mume Kama aliyeuliwa na polisi na kibao kumgeukia Kuwa amekaidi amri halali . anayweshwa pombe na nani kama Mme amechalala!!??
 
Mmalize kabla mali hazijaisha ili upate cha kuanzia maisha wakati unamtafuta mume mwengine mwenye pesa... Ukimchelewesha atakufia hana hata mia... Hapo unaonaje

Mkuu Luno G salaam kwako. Sikutarajia mwanadamu mwenye hofu ya Mungu kuandika ulichoandika ZAIDI YA HAPO nimeshangazwa kuona watu kadhaa waki-Like Comment yako. Very Sorry!!!!!!!!!!!

Ahsante
 
Huyu ni ww au ni nani?
 
Solution; - lewa mama lewa kweli kweli Hadi uanze kulia bure,ulie bila sababu itapunguza machungu
 
Mashart kibao ,kama unawapangia watu cha kujibu haukua na sababu ya kuandika ayo ungebak nayo mwenyewe
 
wanauliza ana kazi gani au anajishughulisha na nin kwani wana hitaji mtu mwenye uwezo wakuimudu familia yake ila changamoto kubwa siku hizi hzta kazi tulizonazo haziwatoshelezi vipi tutaweza mudu familia kwa ujumla wake na maranyingi mambo hayo huwakumba wanawake waliotegemezi na mara chache wale wenye kipto kikubwa kuliko waume zao ndi huwa wanapoteza mzuka na wenzi wao pale anapokuwa ametetereka kidogo
 
Ndo maana nimewahi Sema shetani lazima atakuwa mwanamke
 


Na ukiwaeleza wazazi mchumba wangu anauza dagaa, hapo vipi!!!!! Huruhusiwi kuowa?


Alafu umeamua kuingia kwenye ulevi mwana mama mzima.. ..huoni kuwa unajivunjia heshima!!!!!!



πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Mmalize kabla mali hazijaisha ili upate cha kuanzia maisha wakati unamtafuta mume mwengine mwenye pesa... Ukimchelewesha atakufia hana hata mia... Hapo unaonaje
Amaaaah [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wtakuambia achana naye huyo atakusumbua

Yupi bora kati ya hawa;
1 Asie na hela, na si mnyanyasaji wala si mlevi

2 Mwenye hela, mnyanyasaji, mlevi na mchepukaji n.k


Kumpata mwenye hela na asiwe na hivyo vigezo vya unyanyasaji, ulevi mchepuko n.k, kwa dunia ya sasa ni ngumu mno.



πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…