Nimeanza kulewa kwasababu nimemchoka mume wangu tangu alipofilisika

Na inaonesha wewe ndiye umemfilisi mumeo wewe😏, mfariji na kumpa moyo apambane siku atakua financially stable tena.
 
Na inaonesha wewe ndiye umemfilisi mumeo wewe[emoji57], mfariji na kumpa moyo apambane siku atakua financially stable tena.
Yani my love unapoteza time yako kumshauri shoga? Maana sehem zingine anasema anademu na anampelekea moto, ila kwenye uzi wa leo anasema yeye ni mke wa mtu.

Mfano soma huu uzi wake wa kitambo:


 
Hee kumbe napoteza nguvu zangu bure shenzi zako sexless😀
 
Kumbe namna ya kumtimua mwanamke nijifanye nimeishiwa. Pesa yote niichimbie mahala. Nijifanye nimeishiwa kabisa na mandevu juu
 
Daah.. siku zote najuaga ww Me, kumbe I was wrong!
 
Kwani ile kiapo cha shida na raha umekisahau au huwa mnajitamkiaga tu kumlizisha mchungaji wenu stupity kabisa pambana uko
 
Asije akamletea kifo Mume Kama aliyeuliwa na polisi na kibao kumgeukia Kuwa amekaidi amri halali . anayweshwa pombe na nani kama Mme amechalala!!??
Hawa hata shetani aliwashindwa
 
Ni katika kipindi mumeo anakuhitaji kuliko kitu chochote kingine. Anahitaji neno la faraja kutoka kwako kwani naamini katika kipindi hiki hata wale waliokuwa wanajiita Mabest friend wake hawapo tena na yeye (wamekuachia wewe).

Mwambie ipo kesho kwa ajili yake, atainuka tena. Hiyo ni mitihani ya dunia ambayo inampa nafasi ya kuchuja aina ya watu na vitu vinavyomzunguka.

Its tough being a man.

Burudika na wimbo huu na ujue Mungu yupo nanyi

 
Kunywa pombe na kulewa siyo suluhisho la changamoto uliyo nayo jambo la muhimu ni kumtia moyo huyo mume wako na kukaa naye chini mjipange upya maisha yaendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…