Nimeanza kulewa kwasababu nimemchoka mume wangu tangu alipofilisika

Chanzo cha Tatizo kimoja wapo ni wewe.. Tambaa zako ajipange na Mungu Baba amuangazie...
Malayakwanza kukuona shida!
 
 

Attachments

  • VID-20210328-WA0022.mp4
    11.2 MB
Mbona mtoa mada kama dume maana huu uandishi namashaka nao.
 
Kwasababu wanaulizia kama jamaa ataweza kukulisha
 
Wewe Leo utajisikiaje ukaparalize akakuonea kinyaa akuache?au ukapata ugonjwa hata wa ukichaa akakuacha? Mimi kwa malezi niliyokulia ningeneutralize tu ndiyo maisha Leo mnacho kesho hamna keshokutwa kinarudi... Mungu alinibariki wazazi wanaopendana wana up na down zao kwl,.usione wanaofanya jubilee miaka 25,50 ukadhani hawakuyapitia hayo...pesa sio kila kitu sasa endelea kumtesa na karma ilivyo isije ikakurudia Hiyo ndio moment atakuchagua kuwa Wewe ni mwanamke wa maisha yake,..na atakuchukia akigundua unamchukia sababu hana pesa hivi kwnn hawawambii ukwl wa ndoa hiyo ndio ndoa siyo zile tamthilia za lamujer de mivida..ndoa ni mtihani kama mitihani mingine..
 
Argument yako imekaa poa. But for me life is too short to withstand any pain.
 
Mnalishauri dume la mbegu halafu nilibavicha hili [emoji23][emoji23]
 
Unatuomba ushauri halafu unatufokea
 
Kajipange kwenye foleni ya wanunuliwaji uchakatwe
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…