Nimeanza kulipwa laki 3 kwa mwezi nianzishe biashara gani?

Nimeanza kulipwa laki 3 kwa mwezi nianzishe biashara gani?

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Wakuu baada ya kukaa kwa Muda mrefu bila ajira, sasa nimepata sehemu.

Je kwa mshahara huu kwa jinsi nilivyo na usongo nataka kujiongeza Lakini sina Muda mwingi wa kusimamia naplan kumweka dogo.

Nipo private sector hatuna Muda.

Asanteni.
 
Hongera kwa kupata ajira.

note this, mdogo wako hana vision na ari uliyonayo, expect anything, hata kurudishwa nyuma, mdogo wako ana passion gani? kidogo ukikijua anachopenda anaweza kujitahidi
 
Weka akiba angalau 30k Kila mwezi,usijinyime sana ukapata magonjwa ya afya ya akili.
30K saving kilamwezi sio saving ni kupoteza muda yaani ni sawa na 300K kwa mwaka mzima nonsense

Mshahara wa 200K Mimi niliweza save hio 300K kwa miezi miwili tu
 
Tuliza akili ,inaonekana una papara sana,kama Bado upo home mshahara utakutosha kabisa kuanza biashara ,vinginevyo ni kuvumilia kama unaenda kupanga.
 
Wakuu baada ya kukaa kwa Muda mrefu bila ajira, sasa nimepata sehem je kwa mshahara huu kwa jinsi nilivyo na usongo nataka kujiongeza Lakin sina Muda mwingi wa kusimamia naplan kumweka dogo. Nipo private sector hatuna Muda. Asanteni.
Ushapata mshahara hata mmoja?
ume save kiasi gani baada ya matumizi?

nakushauri anza kukopesha (dhamana iwe vitu bondi)

biashara ya kuweka mtu utafilisika
 
Sio rahisi nilijinyima tu nikakamilisha lengo mean kwa mahahara wa 300K ninakufanyia Savingi ya zaidi ya 100K kila mwezi na nyumbani nasaidia vilevile
Ulikua umepanga? Ulikua unajitegemea chakula? Vp kuhusu nauli? Toa maelezo kidogo
 
Back
Top Bottom