Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Nimejibu chiniUlikua umepanga? Ulikua unajitegemea chakula? Vp kuhusu nauli? Toa maelezo kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejibu chiniUlikua umepanga? Ulikua unajitegemea chakula? Vp kuhusu nauli? Toa maelezo kidogo
10k ndo ulikua unakula mwezi mzima? Ji mwaka gani uo?Nimejibu chini
Jipongeze kwa miezi hata miwili kula maisha kwelikweli hili ukija kuanza saving usiwe na excuse Kama ujawai kula kuku mzima kula, ujawai banda mayai 8 ya kukaanga bandaHahah kaka maprivate haya kaka time time
Mkuu ebu toa maelezo yote Kwa kujitambulisha .then utuambie ulianzaje maisha Kwa iyo 200k,Sio rahisi nilijinyima tu nikakamilisha lengo mean kwa mahahara wa 300K ninakufanyia Savingi ya zaidi ya 100K kila mwezi na nyumbani nasaidia vilevile
Nikkweka details zote za lifestyle hapa itakuwa rahisi kujulioana ila simple sehemu napofanya kazi ni sehemu ghari Sana kwa TZ mzima chakula wali tu hupati chini ya 2500 mlo mmoja bila kinywaji ila naweza ku-manage kula mlo mmoja kwa 500 Tzs tu ambayo sawa na 10,000 Tzs kwa Mwezi mzima10k ndo ulikua unakula mwezi mzima? Ji mwaka gani uo?
Hapo nimetoa mfano mfano Mimi ndio Nina 300K kwa Mwezi ninaweza save Hivyo ila naweza kukupa hesabau pia ukitaka hio 200K natumiaje ona umeandika mavazi 😂😂Mkuu ebu toa maelezo yote Kwa kujitambulisha .then utuambie ulianzaje maisha Kwa iyo 200k,
1.kodi,
2.chakula,
3.mavazi
4.matumizi Kwa siku.
5.nauli
6.
7.
💯🤝kujiajiri si makalio kila mtu anayo
inahitaji mtaji mzuri na nidhamu kubwa ya pesa
Sawa chiefWewe ni maskini sana laki Tatu dah
Hivi Mkuu hujui tatizo la Ajira na Mitaji lilivyo Dunia ya sasa mpaka unaandika hivyo mtu unakaa huna ajira miaka 7 unaishi kwa kuungaunga ukipata 300K unasemaje huwezi hizo zitakuwa nyodo kwasabu hakuna njia nyengine ujueHivi nyie mnawezajewezaje, yani mshahara wa 300K unataka uanzishe biashara hapohapo kwenye 300k kwa mwezi?, nauli, chakula, mavazi, other expenses cjui bili ya maji, umeme, bdo mbususu haijaenda saloon. Hapo hujaenda kupanda juu meza kitambaa cheupe. Kha!
Ni kweli angalau hio 30 maana mambo n mengi tena kama yupo dsm aisee n hatari usafiri kodi chakula.Weka akiba angalau 30k Kila mwezi,usijinyime sana ukapata magonjwa ya afya ya akili.
Tafuta kijana unae muamini mpe mtaji wa biashara ya kuzunguka nayo. Maji,karanga,juice,soda ice cream. Halafu weka nae makubaliano ya 50% ya mauzo baada ya kurejesha hela ya mtaji.Vibiashara vya hapa na pale mkuu.
Ulikuwa unakula sh ngapi?30K saving kilamwezi sio saving ni kupoteza muda yaani ni sawa na 300K kwa mwaka mzima nonsense
Mshahara wa 200K Mimi niliweza save hio 300K kwa miezi miwili tu
Nilishajitegemea kabla sijapata hii ajiraUsikimbilie kujitegemea
Epuka kutoa misaada kwa ndugu utavyojiingiz kuwasaidia watajenga utegemez
Weka akiba
Kuwa mchapakaz
Tuliza akili angalia mazingra yako anzisha jambo na hakikisha unauwezo wa kulisimamia ata 35% (kila siku ufike kwenye jambo lako la biashara )
Nakutakia kila la Heri
Saw endelea na vipengele vngne nimeshaur kama utakufaaNilishajitegemea kabla sijapata hii ajira