Nimeanza kulipwa laki 3 kwa mwezi nianzishe biashara gani?

siwezi kujinyima kisa nisave for tomorrow!, ntafanya matumizi yangu yote kwanza, kama kutakua na surplus ndio nitasave, kama hakuna surplus, saving cant be my priority.
[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuliza akili,
Ongeza bidii kazini,
Jifunze kuboresha kazi uliyopewa,
Punguza ujuwaji
Ishi na uliowakuta vizuri
Usipapatikie starehe Wala vilivyo juu ya uwezo wako,
Save 60%ya mshahara wako kila mwezi,
Baada ya miaka 2 utakuwa umeshazoea mazingira na kufikiria kipi ufanye kwa FAIDA ya kesho

NB
Kujiajiri ni lazima,
Hakuna tajiri muajiriwa
Bali matajiri hutokea kwenye hustle za kila siku
 
Inategwmeana upo mkoa gani ila biashara ya mayai ya kuchemsha haihitaji mtaji mkubwa, biashara ya mama ntilie, biashara ya miwa ya kumenya.
 
Nashukuru kwa ushauri wako murua
 
30K saving kilamwezi sio saving ni kupoteza muda yaani ni sawa na 300K kwa mwaka mzima nonsense

Mshahara wa 200K Mimi niliweza save hio 300K kwa miezi miwili tu
kwani unaishi porini na kula mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…