Nimeanza kumpenda msichana mwingine

Nimeanza kumpenda msichana mwingine

Jaman hv mnafanyaje fanyaje hd mnapenda...mm na umr wangu nilionao niliwah kupenda once..baada ya kutendwa sijawah penda kbsa...nimeona bora nioe tu yan kwan pisi zote nilizokutana nazo huwa naishia kuzitaman tu..tutafanya yote lkn sijawah kupenda pisi hata 1..nimeamua nioe tu huyu nilienae kwa sasa maana naona mda unanitupa mkono

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele, kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu sasa sijui itakuwaje.

Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpaka hivi sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda kama jana na zaidi ya leo.😥

Sifa zake ni:
  • Kapole ila kazururaji
  • Hakanywi bia ila kanaonja
  • Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.

Tuombeane tu tuvuke salama.😥
Kwa hiyo umeamua kunianika huku sio?
Sasa ntakuvunja mpaka miguu konokono wewe!😒
 
🙄

😲

Mkuu Kuna jukwaa la jamii intelligence na stories of changes mada serious zipo kule.

Moyo wangu ni propera hauna mapumziko aisee..😅
Umejibu vizuri sana best kali ya mwaka hasa wakwanza kanamdomo sana anadakiaga nyuzi za watu sana kananiboaga .
 
Back
Top Bottom