Nimeanza kumpenda msichana mwingine

Nimeanza kumpenda msichana mwingine

Mie niko pamoja nawe Ila hapo kwenye dera mmmh! Elf kembaba Toubaah! Ila moyo kichaka kwhyo likitokea chatu umo mi sijui Cha msingi Dua
 
Mie nikopamoja nawe Ila hapo kwenye dera mmmh! Elf kembaba Toubaah! Ila moyo kichaka kwhyo likitokea chatu umo mi sijui Cha msingi Dua
😂 Sawa mkuu..
 
Pambana boy ila madem wa wavaa vijora na madera huwa wambea.kila kitu mkifnya jua atatasema tuu..na ukimwambia hii ni iwe siri yetu ndio km vile unamzimua aweke laudispika
Dera maana yake ana shundu bana.
 
Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele, kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu sasa sijui itakuwaje.

Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpaka hivi sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi kupenda kama jana na zaidi ya leo.😥

Sifa zake ni:
  • Kapole ila kazururaji
  • Hakanywi bia ila kanaonja
  • Mwembamba maji ya kunde na mwisho kanapenda kuvaa Madera.

Tuombeane tu tuvuke salama.😥
Na sio bikra!
 
Back
Top Bottom