Nimeanza kumpenda msichana mwingine

Jaman hv mnafanyaje fanyaje hd mnapenda...mm na umr wangu nilionao niliwah kupenda once..baada ya kutendwa sijawah penda kbsa...nimeona bora nioe tu yan kwan pisi zote nilizokutana nazo huwa naishia kuzitaman tu..tutafanya yote lkn sijawah kupenda pisi hata 1..nimeamua nioe tu huyu nilienae kwa sasa maana naona mda unanitupa mkono

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo umeamua kunianika huku sio?
Sasa ntakuvunja mpaka miguu konokono wewe!πŸ˜’
 
πŸ™„

😲

Mkuu Kuna jukwaa la jamii intelligence na stories of changes mada serious zipo kule.

Moyo wangu ni propera hauna mapumziko aisee..πŸ˜…
Umejibu vizuri sana best kali ya mwaka hasa wakwanza kanamdomo sana anadakiaga nyuzi za watu sana kananiboaga .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…