Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo

Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo

Mtendaji wa kaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
334
Reaction score
58
Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona!

Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno.

=====


Vidonda vya tumbo

Jitahidi kukimbia vyakula vyenye tindikali?? (Acid) kama Limau, ndimu, binzari, maharage, pombe kali au pombe kwa ujumla nk ...

1. Tiba ya Vidonda vya tumbo

Dawa yenyewe ni hivi, chukua kokwa la parachichi, likatekate vipande vidogo vidogo kisha anika juani mpaka likauke. Baadae saga ili kupata unga laini. Chukua yai la kuku wa kienyeji, pasua utoe kile kiini chenye rangi ya njano, changanya na ule unga ambao umeandaa awali, koroga ili kupata mchanganyiko mzuri.

Kisha mpe mgonjwa wako anywe kijiko kimoja mara tatu, baada ya siku tatu atakuwa amepona.

Baada ya hapo akitaka kujua kama amepona au la, anaweza kufanya test ya kawaida kabisa kwa kula maharage, au chakula chenye pili*2 au akaenda kupima hospitali kabisa.


2. Dawa ya vidonda vya tumbo tumia Dawa ya Hii ya Kienyeji -

Ukiamka Asubuhi kabla ya kula kitu kojowa mkojo wako mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja uwe anakunywa mkojo wako kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha uende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie jaribu kutumia hiyo Dawa itakusaidia Sana.
 
Si wazo zuri ndugu yangu. Jaribu kutumia haba soda na maziwa asubuhi kabla ya kula kitu. Baada ya saa unaweza kula.
 
Mtendaji wa Kaya,nikutumie ujumbe kwenye PM yako,kausome fasta
 
Aahahahhh nimejikuta nacheka, enzi za mama terry mie pia niliwahi kusikia hii kitu ya kunywa mkojo wako mwenyewe kama tiba

du sio kharam kweli Mzizi Mkavu njoo utusaidie
 
Aahahahhh nimejikuta nacheka, enzi za mama terry mie pia niliwahi kusikia hii kitu ya kunywa mkojo wako mwenyewe kama tiba


Yataka moyo mikojo yenyewe yenye bacteria hii,,, imeathirika na gongo, mnazi, ulanzi na chimpumu.... imagine mtu akikojoa sehemu week bado pananuka.. eti kojo la namna hiyo ndo unywe... sio mambo ya kujiletea ebola haya
 
Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno

ungeanza na hospital ukapime kama bacteria wa H.Pilori au la.. kama ni hao bazi zipo kit watakupatie... otherwise mpango ni dawa za asili tu... mimi nina nafuu sana na kusema ukweli hata pilipili nakula ila ukiniuliza nimetumia dawa gani siwezi kusema kwa yakini maana mimi kila ninae muona anauza dawa hii sidharau nanunua nakunywa so mpaka sasa sijajua ipi imenifikisha hapa.

Ila mara ya mwisho nimetumia habbat sauda, na kuna wakati nilikunywa mafuta ta nyonyo kiasi hapa kongo wanamini ni dawa.. na kuna mama aliniuzia dawa flan hivi nyeupe sana ya unga.. tamu kiasi una lamba. nikumbushe mwezi huu mwishoni Insha Allah nitakuja home naweza kukununulia vifurushi kadhaa bei sio kubwa kabisa mama franc 3000 hivi kama dollar 3
 
Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno
Inasikitisha sana bandugu mimi pia nilisumbuka na vidonda miaka mingi kila dawa nilitumia hakuna matumaini ila chokochoko alinipa dawa flani hivi nikaitumia kwa muda wa wiki 2 hadi leo ukiniuliza ulcers nini sijuhi tena maana Kama utani nilipona kabisa hata ninywe pilipili niko fresh kabisa hadi namimi nilichukulia wahanga wengine nao wakapona kwakweli ahsante sana chokochoko maana nimepona nasitaacha kusema nimepona kabisa hadi exray haioni vidonda najinsi nilivyotaabika mwee Mungu ni mwema Jamani, nakushauri umpm chokochoko faster kabla hujakatika utumbo mtendaji
 
Pole sana Mkuu na kila la heri.
 
Njoo hapa meeda bar utapata magaloni ya mikojo ya kutosha
 
Back
Top Bottom